Search results

  1. koboko

    Mtaji wa 2.5m/-, Naweza kufanya biashara gani?

    Mtu hujawahi kununua chochote maisha yako yote kwa ajili ya kuuza halafu unakimbilia business forum kutoa ushauri wa kifala ****! Ingia kwenye forum zinazoendana na wewe u-discuss miss tanzania. Hili ni jamvi la wapiganaji wanaotaka kuingia front!!! Nirudi sasa kwenye mada. Kaka bila kusita...
  2. koboko

    Zantel 3g iko juu ucpme!!!

    ebwana kwenye net zantel hawana mpinzani.... voda na airtel uki-dowload huku mkoani nyimbo moja inabidi uache computer on uende kulala asubuhi ndio ukute download complete!!! Kuna wakati voda ina-download kwa kasi ya 0.09kb/sec... Tatizo hiyo 5,000 inayotulazimu kutumia.. halafu usubiri bandle...
  3. koboko

    Songwe International Airport

    tena ndio vizuri wachelewe ili rais wetu kutoka chadema ndio aje afanye ufunguzi 2016. Kikimalizika mwaka huu sisi tunahesabu ni juhudi za sugu mbuge wetu.... Ubishi ulianzia mbeya bwana... If you don't stand for something you will fall for anything - malcom x
  4. koboko

    Natafuta kiwanja nje ya jiji la Dar

    Kuna mashamba hadi heka 100 bei chee na unalipa kidogo kidogo cha msingi uwe na uwezo wa kukiendeleza japo kidogo kuridhisha uongozi wa kijiji. Mimi nilikua nazo ila nikahama Dar basi kijiji wakamuuzia mtu mwingine. Piga namba 0755 527164 atakusaidia.
  5. koboko

    Do you DESIRE or WISH to SUCCEED

    Asante sana nxt millionaire for sharing. Ila how do I cultivate desire? How do you transform a wish into a desire and desire to a burning heat of passion? Nimesoma historia ya watu kama kina John D Rockerfella na hata Zito Kabwe nimeona jamaa walikua na desire and willing to risk everything...
  6. koboko

    Nimepata soft loan bila riba

    Mkuu mimi huyo jamaa ningemuita ' angel investor' as opposed to a 'loan shark' kama wengi wanavyomuita hapa jamvini. 15% ya profit sio ishu mahesabu yanachakachulika kaka... Ushauri wangu. 1. Ila 3b is a lot of money kurudisha kwa miezi 2. Nimewahi kufanya kazi kwenye kampuni yenye mtaji wa...
  7. koboko

    Mwanza

    Nilipitiwa hasa kutokana na maoni ya kijiwe changu kwamba Mwanza is the future business centre of Tanzania. Kama ningekua biased basi ningeandika Mbeya mkoa ninaoishi na kufanya biashara
  8. koboko

    Mwanza

    Mkoa gani una mazingira mazuri zaidi kuanzisha biashara hapa Tanzania kwa kuangalia uwezo wa watu kununua na required start up capital... bila kusahau tabia ya manispaa na TRA za mkoa huo.
Back
Top Bottom