Dogo UDOM wameanzisha EE 2016, Ardhi EE ipo tangu miaka ya 90.
EE ya ardhi miaka 4, EE ya UDOM miaka 3.
Vitu vingi UDOM hawasomi mfano mambo ya workshop hawana wale jamaa.
Civil zilipendwa asikudanganye mtu, vitu vingi anavyosoma Civil hata EE anasoma , na EE ni kozi kiraka hiyo sehemu yoyote unaajiriwa iwe hospitalini (As sanitation engineer), viwandani ,kwenye mambo ya ujenzi etc.
Pia kwa manufaa zaidi, ukisoma E.E unaweza ukaajiriwa kama
1)Surveyor
2)Water Engineer
3) Una uwezo wa kufanya baadhi ya kazi za civil engineer
4)Environmental Impact Assesment - Hakuna project kubwa yoyote mfano ujenzi wa barabara au majengo ambayo haimuhusishi Environmental Engineer.
Yani...
Nenda ukasome kijana.
Hiyo course ni course nzuri sana tena sana.
Halafu ina uwanda mpana sana wa kuajiriwa na kujiajiri, hakuna ofisi /taasisi au kiwanda chochote kikubwa ambacho hakiwezi kosa environmental engineer.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.