Search results

  1. nashukuru mzima

    Ulimwengu wa mapenzi wa sasa umeharibika

    Habari jf. Kipi kimetokea katika ulimwengu wa mahusiano ,mapenzi ya sasa kama yamepoteza kabisa mvuto watu tunafanya ili Tuzaliane tu tofauti na wazee wetu. Kuna Tabia zimejitokeza na zinaendelea kukua sijui zinatujenga katika msingi gani. Wanawake wanaingiliwa tu kinyume na maumbile hadi...
  2. nashukuru mzima

    Raisi Samia amesema Vijana msiende kutafuta fursa nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu Jijini Dar es salaam leo July 26,2023 ambapo amewasihi Viongozi wenzake kuwekeza kwenye kuinua maisha bora ya Watu ili Vijana wapate maisha bora hapahapa Afrika na wasilazimike kwenda...
  3. nashukuru mzima

    Mtu gani alisababisha upate kazi?

    Habari, Tunajua kwenye maisha Yetu kila kitu ni Mungum Hebu Tuambie Mtu unaye mu admire alisababisha wewe upate kazi unayofanya au uliyowahi kufanya kupata maisha. Mimi nilikuwa kitaa kuna binti mmoja alinitumia tangazo la kazi kwenye WhatsApp akiniomba nimsaidie kuaplai kazi nikafanya kazi...
  4. nashukuru mzima

    Nani msimuliaji bora siku zote hapa JF?

    Hello. Tuambie nani kwako ni msimulizi bora na amekugusa Sana kuanzia Uandishi, mpangilio wa aya, mtiririko wa matukio na mara zote story zake ni za kweli sio Fiction. Nitajie watatu. Tarehe moja tutataja mshindi. Kwangu Mimi ni: ANALYSE JACK DANIEL UMUGHAKA. Karibu. Sent from my SO-01L...
  5. nashukuru mzima

    Mapenzi yanakinaisha

    Hello, Unafanya nini ukiyakinai Mapenzi? Kiukweli kuna majukumu yakibana mapenzi yanakuwa sio kipaumbele tena. Yaani mama wa mjengo akikupa unachomeka tu no romance, no sweet sms like first date. Ukimwaga Umelala. Imekaaje hii wajuzi? Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
  6. nashukuru mzima

    Serikali ina dira gani kupitisha mpango wa kujitolea Hospitali za umma?

    Habari. Kwanini serikali ya Tanzania kupitia wizara ya afya na wizara ya TAMISEMI wameweza kupitisha muongozo wa ajira za kujitolea katika hospitali za mikoa na wilaya na zikitaka Hospitali hizo kulipa kupitia mapato yao ya ndani. Narudi kwa mada serikali yetu: 1. Je serikali imejiandaa Vipi...
  7. nashukuru mzima

    P2 Husababisha Ugumba Ummy atoa Muongozo

    Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema serikali imejipanga kutoa elimu ya matumizi sahihi ya vidonge vya dharura vya kuzuia mimba (P2), ili kuepusha wananchi hasa wasichana na madhara, Kutokana na matumizi holela ya vidonge hivyo, ambavyo vinaweza kusababisha kupata ugumba na saratani. Waziri...
  8. nashukuru mzima

    Umetembea na wanaume/wanawake wangapi hadi leo?

    Habari. Tukikupa YOUTONG ya siti 60. Zitabaki siti ngapi tukiwaweka ,wanawake uliowahi kutembea nao. Mimi zitabaki zile tano za nyuma. Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
  9. nashukuru mzima

    Diamond Platnumz na Jux wakwama kwenye lift kwa dakika 15

    Diamond na Juma Jux. Wanusurika kifo kwenye lifti siku ya Leo baada ya Lift kukwama kwa Dk 15. Star Wa Muziki Africa [emoji881] diamondplatnumz Ameweka Wazi Kunusurika Kifo Kwenye Lift Akiwa Pamoja Na Juma_jux Na Watu Kadhaa. #Diamond Ame-Share Video Namna Tatizo Lilivyotokea Wakiwa Kwenye...
  10. nashukuru mzima

    Je, kuna mbinu mpya ya kuchepuka?

    Hello . Kucheat kwa mwanaume ni kitu cha kawaida . Karibu Tupeane mbinu mpya za michepuko. 1..Kuna umuhimu wa kuwa na WhatsApp mbili. 2.Kuna App ya Calculator ya muhimu Sana kuwa nayo unaweza kuhide application kama WhatsApp moja. 3.Usimzoeeshe mchepuko Ku chart au kukutafuta wakati...
  11. nashukuru mzima

    Moto umewaka, Diamond na Alikiba washindana kwa trending YouTube

    Wakuu, Kuna vita ya trending kwa wasanii wetu wa bongo fleva. Hivi siku za hivi karibuni Alikiba na Diamond platnumz wameonesha kabisa wako katika bifu zito za mziki katika Ku trend na kushindanda view YouTube. Tuambie unaliongeleaje hill suala kwa mdau wa mziki kati ya TEAM KIBA NA TEAM DIAMOND
  12. nashukuru mzima

    Ushawahi kupiganiwa/kupambaniwa na mpenzi wako

    Be Honest. Kwenye Maisha ya mapenzi kuna yoyote yule ameshawahi kukupigania kwa lolote lile. Au wewe bora lieende. Nakumbuka kuna mwanamke wangu mmoja alinipa Laki 5 zamani izo nifungue biashara aisee ile hela ilinipa maisha nyie.
  13. nashukuru mzima

    Njooni tubishane

    Habari. Wikiendi imeanza. Kiuhalisia ninaweza kuonekana mjinga ila ninakuja na mada hii. Karibu kwa kubishana leo Tubishane mpaka Tuchoke. Ila Tusitukanane
  14. nashukuru mzima

    Kama hauna ratiba usiende Kariakoo

    Aisee. Kwa hali ilivyokuwa kwa sasa Kariakoo kama hauna shughuli rasmi haina umuhimu kwenda. Msongamano wa watu na magari umekuwa mkubwa maradufu. Hii inapelekea watu kuibiwa.
  15. nashukuru mzima

    Mtu gani alikuja katika maisha yako alikusaidia na kuondoka

    Hello. Wana chitcharts ni nani alikuja katika maisha yako ukiwa na uhitaji mkubwa wa jambo alikusaidia kwa asilimia kubwa na Akaenda Hakurudi tena au haukuwahi kuendelea kuwasiliana nae. Kuna rafiki yangu alinikopesha million 1 nilipotoka kumaliza chuo aisee yule Dada ni wakishua nimesoma nae...
  16. nashukuru mzima

    Waziri Maulid Mwita aomba radhi na kutengua kauli ya katibu mtendaji wa baraza la sanaa juu ya kulipa 1,000,000 kupata kibali cha mwanaume kusuka

    HABARI Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, ameomba radhi na kutengua kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar, Dkt Omar Adam ya kwamba mwanaume yeyote anayetaka kusuka visiwani humo itambidi alipie...
  17. nashukuru mzima

    Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

    Hello, Member gani amekuwa bora kwako kwa miaka yote ya JF au tangia umeingia na umekuwa ukimfuatilia na kijifunza kitu kupitia yeye. Binafsi ni MSHANA JR na MPWAYUNGU VILLAGE. Nisiyemuelewa ni GENTAMYCINE ujuaji na FAIZA FOX udini. Karibu Unitajie memba unayevutiwa nae na sababu na memba...
  18. nashukuru mzima

    Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

    Za jioni Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba. Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar? Mbopo napasikia. Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika. Kijichi. Kivule.
  19. nashukuru mzima

    Hongera mwanaume uliyepata Wife material

    Habari. Kiukweli wengine tunamshukuru hata kwa uhai tulionao. Mwanamke niliyekuwa nae mwanzoni nilimpenda na nimetumia gharama nyingi kwake. Kikweli nawapongeza wanaume waliopata wanawake wenye Tabia za kueleweka na roho nzuri. Hongereni sana
Back
Top Bottom