Search results

  1. kingkimbe

    MSAADA: Kodi za TRA pindi mzigo ukifika nchini

    Habari wanajamvi, natumaini mpo poa? Nilikuwa naulizia kwa wajuzi, kodi za mizigo inayokuja na meli kwa njia ya posta mfano, mzigo ya phone and computer accessories TRA wanachukuaje kodi? Naombeni msaada.
  2. kingkimbe

    Computer4Sale Lenovo ideapad 110 inauzwa

    Ram 4gb HDD 250 battery 3hours Kipengele housing ina creck Tu Bei 260k
  3. kingkimbe

    NATAFUTA FUNDI WA CAMERA

    Delete it
  4. kingkimbe

    Kuna uhusiano gani kati ya mafuta ya zaituni na majini?

    Wakuu habari Za wakati huu kama kichwa kinavyosema nataka kutambua uhusiano Kati ya mafuta ya zaituni na majini Mana nimesikia haya mafuta yanaweza kutoa majini mwilini na yanaweza kutoa uchawi licha ya kazi yake ninayo ijua mimi ya kulainisha ngozi na kuifanya iwe mzuri. NAWASILISHA MADA...
  5. kingkimbe

    Mgeni mtundu

    Hodi jf habari zenu Mimi in mgeni alafu mwenyeji hapa jf naomba munipokee Mgeni asiyetulia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kingkimbe

    Msaada wa kutengeneza beat kwa kutumia FL studio

    Wakuu habari za muda huu natumaini mpo powa leo naomba watu wenye uelewa wa kutengeneza beat kwa FL studio wanisaidie. Mimi nina idea ya kutengeneza beat ila kuna vitu sivijui kupiga live kama kinanda na gita hivyo naomba maelekezo na musikilize baadhi ya beat nilizo tengeneza maoni ushauri...
  7. kingkimbe

    Jinsi ya kupata fl studio pamoja na pack zake zote

    wakuu habari kama kichwa kinavyojieza naomba msaada mimi nataka kutengeneza instrumental na ninayo fl studio lakini hipo demo sasa kwa wanaojua wapi naweza kupata hyo fl studio 12 iliyo full registered pamoja na vst plugin kibao kama unaweza naomba unitumie au nitumie hata link asanteni...
  8. kingkimbe

    HODI JF

    Habari za wakati huu naitwa kingkimbe nashukuru kwa kuwa hapa jf nilikuwa nikifatilia sana hii forum asanten sana. Post sent using JamiiForums mobile app
  9. kingkimbe

    Kwa wanaoitaji kiflash simu

    Leo nina habari nzuri kwa watu wote wanaoitaji kuroot, Ku unlock, na kuflash simu zao inbox me kwa ajiri ya software na maelezo zaidi Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom