DR Mwakyembe
the national developmental vision 2025. that Tanzania will become a middle income country, the things that will get us there are
1. mechanized agriculture
2. developed fishing
3. value addition on agro products
4. good governance
Dr mwakyembe is stating that the youth will be...
tanzania ni masikini kwasababu:
1. siasa isiyo kuwa safi
2. viongozi wasiyokuwa waadilifu
3. sheria za nchi kuwa mbovu
4. hari ya watu wasioyotaka kufanya kazi
5. rushwa
mr mangasini anasema kwamba tanzania bado ni masikini na hiyo ni kwasababu tanzania yote ni a very big village kwasababu tanzania bado ni agriculture based country katika takrimu za uchumi
wageni rasmi wenyewe wamechelewa ratiba ilikuwa ianze saa mbili lakini mpaka now hawafika. inaonyesha ni jinsi gani watanzania sio watu wanaoheshimu muda kama resource ndo maana mpaka sasa hivi si ni masikini kama viongozi ndo hao wanachelewa je vitu vingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.