Search results

  1. Striker0011

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Mkuu feedback ipo unapoomba tu unapata acknowledgment ya kwamba maombi yako yamepokelewa
  2. Striker0011

    Msaada wakubwa

    Permanent soln... Nenda kwa Wakili akuandalie deed poll upeleke ardhi isajiliwe
  3. Striker0011

    Nalia na Utumishi

    Unapoweka namna yako usiache nafasi pia pale kwenye separator weka dash instead of /
  4. Striker0011

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Huyu mama anapoandika hayo mtandaoni hajui watoto wake wanakua na wataona alivyokuwa anatoa siri za ndani... Japo mzee anaweza kuwa na makosa lakini mama hakutakiwa kuanika siri namna hiyo. Mitandao hasa kwa sasa ni kumbukumbu tosha.
  5. Striker0011

    Bahati ilioje hii jamani

    Hujatuambia ni tarehe ngapi na mwaka gani hayo mambo yalitokea.. sitegemei kama itakuwa ni kuanzia December mwaka jana (2015) wenda November 2015 kurudi nyuma. hakikisha umeshabadili majina ya umiliki asije akataka kuzirudisha chini ya miliki yake.
  6. Striker0011

    Natafuta mfadhili nitamlipa zawadi nzuri

    Nenda benki ya Waislam mikopo haina riba
  7. Striker0011

    Tunasubiri milioni 50 za kila kijiji lini zitatufikia?

    Endelea kusubiria tu zitakufikia ila ukumbuke kulipa kodi kwa wakati ili nazo zikufikie kwa wakati.
  8. Striker0011

    Naomba ushauri wa kisheria kuhusu Vodacom Mpesa

    Malalamiko yote juu ya uendeshaji wa mitandao ya simu huanzia TCRA. Jaza complain forms zilizo katika website ya TCRA hapo utasaidiwa Pia jedwali hilo litakusaidia.
  9. Striker0011

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    "Mwanzo 1:28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi." Ni mpango wa Mungu kuijaza dunia, nadhani kwa sababu ni mambo ya imani (Waebrania 11:1-maana ya...
  10. Striker0011

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Mwanadamu aliumbwa kuishi milele, kabla ya dhambi hakukuwa na kifo lakini baada ya dhambi ndipo kifo kikaanza then miaka ya kuishi ikaanza kupungua. Kwa hiyo kupungua kwa miaka ya kuishi hadi hivi leo ambapo ww waweza ishi miaka 40 au 10 au 25 basi ni matokeo ya dhambi. Biblia imejazwa na maneno...
  11. Striker0011

    Orodha ya Huduma na matunda Walibya waliyopata enzi za Gadaffi

    Tofauti na mrabaha ambao unauona mdogo zipo kodi nyingine wanazo lipa kama CIT pia wanalipa service levy kwa halmashauri sasa kwa gharama hizo uweke na gharama za uendeshaji wanazoingia. therefore usiangukie sana kwenye mrabaha na kuona hapo ndo wamemaliza wenda waweza fanya uchunguzi na kuona...
  12. Striker0011

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Nenda ustawi wa jamii katika usuluishi au kanisani kwenu au katika baraza la kata la usuluishi ili kupata cheti kwamba ndoa yenu haiwezi kurudi tena vizuri baada ya hapo waweza peleka maombi mahakamani ili kupata talaka. For further instruction waweza nichek>>
  13. Striker0011

    Prof. Kitila Mkumbo: Watanzania punguzeni imani kwa viongozi

    na ww nae umeenda race kwa kuamini maneno ya kiongozi wako Mamvi, uboreshaji wa masiha ya waalimu huja baada ya kuweka miundombinu vizuri.. hata ukiboresha maisha ya waalimu watakapokuwa wanafundisha bado watoto hawataelewa wala kufurahia coz hakuna miundombinu mizuri kama madawati, majengo n.k...
  14. Striker0011

    Alipewa ujauzito akatelekezwa, huruma iliniponza nikamsitiri sasa ananilazimisha kuwa baba

    We umeshakula utamu kwa muda wote huo tangu mimba changa hadi kufikia kujifungua kwa hiyo we endelea tu uwe baba wa kufikia si mbaya wapo wengi sana wanalea watotot si wao yawezekana mtoto wa pili atakuwa wako.
  15. Striker0011

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hv huyu LVG ni kocha au mzimu... hv huwa anaandika nn na inamsaidiaje.. inabd waandishi wa habari wafanye utafiti wa anachokiandika...
  16. Striker0011

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Je unatambua kazi au majukumu ya hizo taasisi!? Kama watambua majukumu ya taasisi hizo je yanafanana!?
  17. Striker0011

    Rais Magufuli afunga Kiwanda cha Maziwa cha familia ya Uhuru Kenyatta

    Kwani hukumbuki kuwa tuna viqwanda vingine vya maziwa hapa tanzania!!! kwa mfano Tanga Dairy etc..
  18. Striker0011

    Tanganyika yangu hii

    Wadau habari humu!! embu nijuzeni hapa kwa sababu nimejaribu kufuatilia lakini sijapata jibu sahihi ambalo lina mantiki na halina utata. Hivi jina 'TANGANYIKA' lilitoka wapi na nini chanzo chake?
Back
Top Bottom