Search results

  1. G

    Kisa Rais Magufuli Kufuta Sherehe za Uhuru Bavicha Wawataka Wananchi Kwenda Magerezani

    Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Makao makuu ya Chadema, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi ametoa rai kwa wananchi kuitumia siku ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, Desemba 9, 2018 kuwatembelea wafungwa walioko katika magereza mbalimbali huku akipinga agizo la...
  2. G

    Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

    Awali ya yote, nipende kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa usikivu wake na kuchukua hatua stahiki kuhusiana na sakata la mimea na mbegu Zilizobadilishwa Vinasaba (GMO) nchini. Kama mtafiti wa Uhuru wa Chakula, napenda kuihakikishia Serikali kuwa, wadau mbalimbali wakiwemo wakulima, walaji...
  3. G

    Dkt. Shein aipongeza China kwa kusaidia maendeleo Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi ya maendeleo sambamba na kukuza uhusiano uliopo. Dk. Shein amesema hayo alipokuwa na mazungumzo na Makamu...
  4. G

    CNN: Tanzania loses $300m World Bank loan amid crackdown concerns

    Nafikiri wengi labda hamuelewi World Bank ni nini, ni Benki kama vile tu CRDB ilivyo ni Benki na in Wamiliki. Pia labda hamuelewi jinsi mfumo wa Brettton woods unavyofanya kazi, Benki ya Dunia haiwezi kuinyima TZ mkopo hata siku moja kwanza ni kinyume chake ni lazima Tanzania ichukue huo mkopo...
  5. G

    BusinessLine: Decline in global cashew prices affects processors

    Jarida la HinduBusinessLine toleo la Machi mwaka huu limesheheni ukweli huu na sababu za kuanguka bei za korosho mwaka huu likitabiri mwishoni mwa mwaka zitaanza kupanda. Kuanguka huko kwa bei pia kuliathiri uzalishaji wa korosho ambapo ni benki chache huko India na Vietnam zilikuwa tayari...
  6. G

    Tusiwaamini wanasiasa hawa

    rais anatafuta njia ya kuwasaidia wakulima wa korosho, hao wafanyabiashara wanyonyaji hawana nia njema kwa wakulima wa korosho wa tanzania
  7. G

    Tanzania: Wanaharakati wa kulinda wanahabari (CPJ) wakamatwa na kuhojiwa, waachiwa!

    kabla ya kuconclude, inabidi tujiulize maswali kwanini walikamatwa hao waandishi?au labda kosa walifanya kikapeleka kukamatwa kwao.
  8. G

    Jeshi la Magereza lafanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi

    Katika kuboresha utendaji kazi ndani ya Jeshi la Magereza Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Martin Kasike amefanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi kwa kuwateua Wakuu wa Magereza wa Mikoa Tanzania Bara(RPOs) 19 wapya na saba (7) kuwabakiza katika nyadhifa zao. Katika mabadiliko...
  9. G

    Fatma Karume ni mwanasheria asiyezifahamu sheria

    @THOMASS SANKARA kama unaona huo ni ujinga basi sawa lakini ujumbe umefika
  10. G

    Fatma Karume ni mwanasheria asiyezifahamu sheria

    FATMA KARUME NI MWANASHERIA ASIYE ZIFAHAMU SHERIA. SAKATA LA USHOGA LIMEWASAIDI WATANZANIA KUFAHAMU UWEZO WA KISHERIA WA FATMA KARUME. . Nimesoma maandiko kadhaa ya mwanasheria Fatma Karume, Kwa wale wasiomfahamu vizuri Fatma Karume ni mjukuu wa muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibari, Fatma ni...
  11. G

    Bungeni, Dodoma: Kikao cha kwanza Bunge la 13 mwaka 2018

    Mkutano wa 13 wa Bunge umeanza leo Jumanne, Novemba 6, 2018, huku wabunge wanne wawakiapishwa na Spika Job Ndugai, ambao wote ni wa Chama Cha Mapinduzi
  12. G

    Hivi Global TV na bongomikasa TV ni mtu mmoja??

    1) Hivi global TV na bongomikasa TV ni za nani? 2)Hivi faida (profits) za kuendesha TV kwenye mtandao iko je????? 3)Nikitaka kufungua yangu taratibu ziko vipi?????? 4)Nitafurahi nikipata namba za simu za mmoja wao ili wanisaidie.
  13. G

    Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Hivi hii ni akaunti gani ya "zitto kabwe" mbona sijawahi kuiona post hii..... Nadhani mojawapo ya akaunti feki za zitto kabwe maana yeye mwenyew kashangaa kuhusu kuwepo kwa akaunti hii... Jamani tufanye kazi tuache maneno maneno haya na vitu vya kutungatunga visio na mantiki kwa maendeleo ya...
  14. G

    Magufuli utawala wako umeshusha hadhi na heshima ya vijana wasomi mtaani

    Yaana sisi watz sijui tuna tatizo gani, serikali ya awamu ya tano inatoa wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki ilikutengeneza nafasi za ajira mpya nyingi ili vijana wasio na ajira wapate kuajiliwa kuendeleza maisha yao
  15. G

    Hakika hoja za kisiasa zimekwisha yamebaki haya

    Ndugu wana JF, Siasa za nchi hii kwa sasa zimekosa mashiko kutokana na utendaji wa serikali ya awamu hii. Haya ni maswali najiuliza na ningependa kushare nanyi: Lini katika uongozi wa NYERERE, MWINYI, MKAPA na KIKWETE tulitangaziwa na serikali kwamba inaenda kukopa zaidi ya kusikia kwenye BUNGE...
  16. G

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    mtu gani huyu anaishi sehemu kama hiyo................!!!!! anapata faida gani kufanya mauaji alafu unaishi kama ndege kuhamahama
  17. G

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    navipongeza sana vyombo vya ulinz na usalama kwa kazi nzuri ya kukabiliana na wauaji wa kibiti mpk sasa wananchi wakibiti wanaishi kwa usalama na kuendelea na shughuli zao za kimaendeleo.
  18. G

    Blogger Robert Alai(Kenya) atoa siri ya waliompiga Lissu risasi. Amtaja RC Makonda...

    ushaidi huko wapi kama kweli makonda kafanya hilo tukio....hizo ni propaganda za chadema wakishirikiana na huyo robert alai...wamempa hiyo story hili aisambaze kwenye mitandao ili atuaminishe
Back
Top Bottom