Search results

  1. dreams and visions

    Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Wakuu, kwa wale wenye link ya group la whtsap kwa Post ya Tax Management Officer naomba m-share! Asante
  2. dreams and visions

    Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

    Mashine ya tani moja ni sh ngp?
  3. dreams and visions

    Kama hali itaendelea hivi hadi December mwaka huu basi sitakuwa na namna yingine zaidi ya kwenda kupambana mbali na hapa Tz

    Kikubwa unapokuja huku, kama una uhakika wa kupata visa...Hakikisha either unakuja na hela itakayokusaidia ku-survive kipindi unatafuta kazi au uwe na mtu ambae atakuhudumia. Vinginevyo usiogope,fuata ndoto zako....competition hiyo ni tahadhari coz hata unapoenda vitani unapaswa kujua unaenda...
  4. dreams and visions

    Kama hali itaendelea hivi hadi December mwaka huu basi sitakuwa na namna yingine zaidi ya kwenda kupambana mbali na hapa Tz

    Ila mentality ya kusema kwamba kwenda kupambana nchi nyingine ni kukimbia tatizo si sawa,hiyo ni namna nyingine ya kucheza mchezo.Na cha muhimu ni kwamba utapambana miaka kadhaa nje then utarudi nyumbani na capital, business ideas , exposures na mengine. Watu ambao walishawahi kuishi nje ya nchi...
  5. dreams and visions

    Kama hali itaendelea hivi hadi December mwaka huu basi sitakuwa na namna yingine zaidi ya kwenda kupambana mbali na hapa Tz

    Uwezekano wa kupata kazi ya professional ni ngumu, labda uwe unakijua vizuri Kikorea. Ila kazi casual ndo zipo available kwa wengi. Ila shida ni competition kwa sasa.
  6. dreams and visions

    Kama hali itaendelea hivi hadi December mwaka huu basi sitakuwa na namna yingine zaidi ya kwenda kupambana mbali na hapa Tz

    Mkuu Karibu sana Korea. Ni kweli earning ni kubwa na kazi zipo. Ila kwa sasa hali siyo nzuri, foreigners wanazidi kuingia na competition imekuwa kubwa mno. Mfano, kuna jamaa alimaliza masomo juzi kati,akaanza kutafuta kazi ya kupiga kwa miezi mitatu hajapata. Si kwamba kazi hazipo,zipo. Ila...
  7. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Habari wadau. Heshima kwenu. Asanteni kwa kuchangia uzi wangu na kunishauri. Naomba kutoa mrejesho. Ukweli ni kwamba huyo niliyekuwa namchukulia kama mchumba wangu kipindi tunaanza mahusiano aliniambia yeye ni single, tena single wa muda mrefu. Kumbe alikuwa na mtu wake ambae wapo nae kwa muda...
  8. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Simu nilikuwa nmeshika mimi ....nilikuwa na-set alarm tulale,kwa sababu kesho yake nilikuwa na safari ya mbali Sent using Jamii Forums mobile app
  9. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Pole. Fuatilia uzi vizuri....nme-save hiyo no "mpuuzi" katika harakati za kuangalia hiyo no whatsap ndo maana kuna herufi "M" Sent using Jamii Forums mobile app
  10. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Wadau asanteni kwa comments zenu. Kuhusiana na level ya uchumba wetu ni kwamba,kuna ndugu wachache wanafahamu kuw tupo wote, na nmekuwa na ujasiri kumuita mchumba kwa sababu wote tuna lengo moja la kuoana siku zijazo. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Kaka si sms moja....Ni conversation kabisa....kuna attachment nimetuma,tafadhali pitia,utaelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Asante kaka...This is strong advice Sent using Jamii Forums mobile app
  13. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Nimemsave kama mpuuz nilipokuwa namuangalia whatsap...ndo maana inaonekana M Sent using Jamii Forums mobile app
  14. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Asante sana kwa ushauri wako. Huyo mwanamke alichukua no za muhusika na adai huyo muhun anamtukana, anadai mimi nmemtelekeza huyo anaedai ni mpenzi wangu baada ya kumpa mimba. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Nisaidie ndugu. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Kaka asante. Uelewa wangu ni mdogo ndo maana nkaomba msaada. Ila kwa uelewa wangu mdogo nmefanya yafuatayo. Nmeangalia tigo pesa, jina kweli ni Veronica lakini sijawahi kuwa familiar na hilo jina. Nme-search hilo jina na number Facebook lakini hakuna details.... Nmeangalia whatsap...hayupo...
  17. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Asante...shida ni kwamba nmetumia watu kama wa4,nmewapa no ili wamfuatilie lakin hajibu sms wala calls....na mara nyingi hapatikani Sent using Jamii Forums mobile app
  18. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. dreams and visions

    Uchumba wangu umevunjwa

    Ni kweli ntapata shida. Ndo maana nkaomba msaada hapa. Ila kwa jinsi conversation ilivyo, ni wazi kwamba huyu ni muhun flan na si mpenz wangu, kwa upande wangu mimi naelewa kuwa ni upuuzi flan...lakini mchumba wangu halielewi hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom