Search results

  1. K

    Yamenikuta

    Si ubadili namba kwani ulizaliwa nayo hiyo?
  2. K

    Mme wangu nampenda sana lakini amepunguza mapenzi na mimi

    Mhhh Kwa UK hv mtu anaweza chepuka kweli na huo umbea wa huko? All in all tafta kazi jihudumie kuna wanaume nature Ni kutokutoa hela hata ukute hana mchepuko basi tuu wako hvy Wapare wakiongozwa... Pia jifunze kumkumbusha wengine wanajua kujali ila mpk akumbushwe"
  3. K

    Msaada: Nimepoteza risiti ya Umeme Max Malipo kabla ya kuingiza namba za units

    Nenda shops zao km Ni Tigo voda au Airtel huwa wanaresend token # unaweza jaribu kupiga call center kwanza though huwa wazinguaji baadhi yao...
  4. K

    Kasoma Uingereza miaka mitatu, lakini kuongea kingereza ni tatizo

    Inawezekana sn tuu km alikuwa hajichanganyi na wazawa au hakupiga box za kumweka mjini..
  5. K

    Badilikeni jamani mnatufanya tujifunze kuchepuliwa hivihivi

    :thumbup::thumbup: nakuunga mkono bibi.com hapo kwenye kutujua ndo huwa wagumu
  6. K

    Badilikeni jamani mnatufanya tujifunze kuchepuliwa hivihivi

    Duh pole aisee ila kaeni muongee na mjitahidi kusali pamoja shetani nae yuko kazini.. Na jioni wivu akichepuka? Au ukiona katoka kachelewa kurudi?
  7. K

    Badilikeni jamani mnatufanya tujifunze kuchepuliwa hivihivi

    Dah mpaka chozi limenitoka tena... Asante mkuu huu ujumbe natamani umfikie mhusika ila najua atapita tuu"
  8. K

    Badilikeni jamani mnatufanya tujifunze kuchepuliwa hivihivi

    Ubaya baadhi yenu msioujua Ni kwamba Mwanamke akupende na akuthamin mthamin kwanza usianze na makuu rudi na chocklate tuu uone utakavyorukiwa.. Nakuhakikishia wengi wa wake hawapendi kuchepuka ila kutobadilika Kwa wanaume chanzo kikuu..
  9. K

    Badilikeni jamani mnatufanya tujifunze kuchepuliwa hivihivi

    Ha ha ha ha yani me nikupende unikute ndani Massa 24 hata cm chukua sitaki mawasiliano tena nipe tu hela na namba mbili hapo.
  10. K

    Badilikeni jamani mnatufanya tujifunze kuchepuliwa hivihivi

    Ni kweli tuko hvy lkn km MTU habadiliki ukimya lazma utumike ila si wa kumnyima haki zake km mume.
  11. K

    Badilikeni jamani mnatufanya tujifunze kuchepuliwa hivihivi

    Na ndiyo maana wachache sana huweza kubadilika wengi huisi wanaonewa.
  12. K

    Badilikeni jamani mnatufanya tujifunze kuchepuliwa hivihivi

    TABIA HIZI DAH.. Kiukweli kuna tabia ambazo utaongea miaka na miaka lkn MTU kubadilika au kuziacha humuwia vigumu mpk hapo ndipo baadhi ya wake huamua kuchepuka. Hatupendi kuchepuka ila Kwa haya dah uvumilivu huwa mgumu...km halikuhusu pita sio lazima ucomment" 1: Kumpa Mke wako hela hata ya...
  13. K

    Kwa nilichokiona usiku huu kwa huyu mwanamke nahairisha rasmi ndoa yangu ya Disemba 2015

    Duh... Kwa hy kisa umeona mwingine anagegeduliwa ukajua na wako mkatoliki wanamgegedua? Huyo dada kaolewa? Km bado ujue yuko kwenye kutafuta usimfananishe na biharusi mtarajiwa.. Watu hutofautiana tabia ukute wako anakupenda na kukuheshim ila fikra zako potofu zinakulostisha.. Mbna watu...
  14. K

    Call for interview: How should it be communicated?

    I think calling them a week before, then leave a memo via email provided and if possible text msg the attendant 3/2 days before the interview date.
  15. K

    Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

    Mimba ya kwanza nilikuwa nakunywa Pepsi tatu mpk tano Kwa siku plus kutafuna mabarafu hakuna madhara aliyoyapata MTT alipozaliwa
  16. K

    Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

    Ulaini enzi hizooo sa hv mambo sawa sawa... Ss jiulize akiamua tu kukufanyia movie akaondoka unaulizwa kisingizio mchepuko kha" Badilika km kweli umetambua kosa lako na km huwez muacha mchepuko kuwa unafuta mambo zako asigundue..
Back
Top Bottom