Search results

  1. Inside10

    NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi. Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema: “Tunapenda kuvitaarifu...
  2. Inside10

    Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
  3. Inside10

    Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko ateua Wajumbe wapya Bodi ya TANESCO

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amefanya uteuzi wa wajumbe wanane wa bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) watakaohudumu kwa miaka mitatu. Wajumbe hao ni Dk Lucy Mboma, Isaack Chanji, Boma Raballa, Grace Joachim, Profesa Hellen Bandiho, Balozi Zuhura...
  4. Inside10

    Album(Nyimbo) Ujio Wa Papa Yohane wa II, Ziara kitume Nchini Tanzania Mwaka 1990

    Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo Ningependa kushiriki nanyi nyimbo hizi.
  5. Inside10

    Ripoti: mabinti waliokutwa wakiishi katika nyumba moja Jijini Dodoma kwa madai ya kupatiwa mafunzo ya dini ya Kiislamu

    Ripoti ya awali ya ufuatiliaji wa sakata la mabinti waliokutwa wakiishi katika nyumba moja Jijini Dodoma kwa madai ya kupatiwa mafunzo ya dini ya Kiislamu, imebainisha kuwa baadhi yao walikatisha masomo, kubadilisha majina na kituo walichokuwa wakiishi sambamba na kutokuwa na leseni ya usajili...
  6. Inside10

    Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda. Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada...
  7. Inside10

    Wafuasi wa Askofu Mwaikali wasusa ibada Mbeya

    Mbeya. Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ibada kwa kile kinachoendelea juu ya mgogoro katika kanisa hilo. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  8. Inside10

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania latoa Waraka wa Kwaresma, lazungumzia upatanisho

    Rais wa TEC, Askofu Mkuu, Gervas Nyaisonga BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa Kwaresima wa mwaka 2022 ambao kwa sehemu kubwa umejikita kuzungumzia umuhimu wa upatanisho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Waraka huo wenye kurasa 44, umetolewa na...
  9. Inside10

    Paul Makonda adai kutopata hati ya wito Mahakamani zaidi ya kusikia kwenye vyombo vya habari

    Wakili wa mjibu maombi Paul Makonda, ameieleza Mahakama ya wilaya ya Kinondoni kuwa mteja wake bado hajapokea hati yoyote ya wito wa Mahakama dhidi yake, zaidi ya kuzipata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari. Wakili huyo aliyejitambulisha kama Goodchance Regnald ameyasema hayo leo mbele ya...
  10. Inside10

    Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, ametoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi likiongozwa na IGP Simon Sirro, kufanya uchunguzi wa mauaji ya watu watano wakazi wa Kata ya Zanka, kijiji cha Zanka jijini Dodoma yaliyotokea hivi karibuni. Dkt Mpango ametoa maagizo hayo hii leo Januari 26, 2022, mara baada...
  11. Inside10

    Mtwara: Mjomba wa mfanyabiashara aliyeuawa adai alitishiwa kupewa kesi ya ugaidi endapo ataendelea kufuatilia suala la mpwa wake

    SIKU moja baada ya kuenea taarifa ya kuuawa kwa mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis, anayedaiwa kuuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mtwara, mmoja wa ndugu wa marehemu amedai wakati akifuatilia suala hilo alitakiwa akae kimya au angepewa kesi ya ugaidi. Mjomba wa marehemu, Salum...
  12. Inside10

    TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

    Kamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo...
  13. Inside10

    Ufafanuzi wa Meja, Padri, Dr Henry Rimisho

    Jambo kubwa lililopamba mahafali ya 15 ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) yaliyofanyika juzi, ni uwepo wa mhitimu wa Shahada ya Uzamivu, ambaye ni padri aliyepitia pia mafunzo ya kijeshi. Padri huyo, Dk Henry Rimisho wa Shirika la Mitume wa Yesu la Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amevuta...
  14. Inside10

    Ndugu wa Hamza washangazwa na uchunguzi wa Polisi

    Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi. Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
  15. Inside10

    Askofu Bagonza; Kabla ya Katiba Mpya...

    KABLA YA KATIBA MPYA... 1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi. 2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini. 3. Kabla ya Agano Jipya (Katiba Mpya), Musa alikuwa ni gaidi...
  16. Inside10

    Mapadri Henry Mchamungu na Stephano Musomba wateuliwa kuwa Maaskofu Wasaidizi Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam

    Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican Baba Mtakatifu Francisko amewateuwa Maaskofu wasaidizi wawili kwa ajili ya Jimbo kuu la Dar es Salaam, Tanzania. Walioteuliwa ni Mheshimiwa Padre Stephano Musomba, wa Shirika la Waugustiani, OSA, hadi kuteuliwa kwake alikuwa ni Paroko wa Parokia ya...
  17. Inside10

    Mbowe's Challenge

    By Ezekiel Kamwaga Of Accidental Leaders In a recent article on NewAfrican, Samia Suluhu Hassan was described as an “Accidental President”. Before the unexpected death of her predecessor, John Magufuli on March 17, 2021, few would have predicted that she would be Tanzania’s first woman...
  18. Inside10

    TANZIA Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini, Padre Francois Gautier afariki dunia

    Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini Tanzania (Radio Tumaini), Padre Francois Gautier amefariki dunia. Aliwahi kuwa paroko wa parokia ya Manzese. Will miss you father R.I.P
  19. Inside10

    TANZIA Padri Wilfrid Dinho Wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Afariki Dunia

    Maneno haya hapa Ni kutoka kwenye fb page ya Askofu Kilaini. Kwaheri Fr. Wilfrid Dinho. Pole sana Baba Ruzoka na wana Tabora ndugu na jamaa. . Huyu Fr. Dinho ni mmojawapo wa classmates wangu wachache waliokuwa wamebaki. Tulipanga mwaka kesho tusheherekee pamoja miaka 50 ya upadre. Utuombee...
Back
Top Bottom