Search results

  1. Kifuniko

    Diploma in Arts and Foundation Design

    Naomba mwenye kufahamu chuo gani nchini Tanzania kinatoa hiyo kozi nina mjomba anataka kuisoma ila hatujui ni chuo gani. Asanteni
  2. Kifuniko

    Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

    Hivi nashindwa kuelewa kila uendapo nchini kwenye mitaa utakuta kuna vyama vya kina mama utasikia tu mke kaaga naenda kikao tuna chama chetu cha kukopeshana lakini huwezi hata siku moja kuona kaja na burungutu. Hivi mbona kina baba hawana hivyo vyama na ndio wanaotegemewa kwenye familia. Au...
  3. Kifuniko

    Sakafu ya Tarazo

    Naomba kujuzwa kama kuna anaefahamu kampuni au mtu anaeweka floor ya tarazo either granite au mawe mengine. Shukrani Wenu katika ujenzi wa taifa Kifuniko
  4. Kifuniko

    Shule nzuri ya serikali kwa kinondoni

    Wadau naombeni anaejua ni shule gani nzuri ya primary kwa wilaya kinondoni ila iwe ya serikali nina mtoto anafikisha miaka 6 next year nataka ajiunge
  5. Kifuniko

    Mbao za slab

    Wadau nina shida na mbao kwa ajili ya kumimina slab ya kijighorofa changu coverage kama mita 10 kwa 15, mbao hizo nazihitaji mwezi wa tisa
  6. Kifuniko

    Girlfriend

    Natafuta Girlfriend wa kula nae maisha kama tukiivana tutahamia stage ya juu yake
  7. Kifuniko

    Sony xperia z

    Wadau kuna mtu anaetumia hii product nimeipenda ila sina uzoefu kama ina matatizo gani, nijuzeni ili niamue
  8. Kifuniko

    Escot Girl

    Nategemea kutoka nje ya nchi, kama kuna mrembo yeyote aliefunga chuo anataka kula bata likizo ani PM. Awe na passport na mrembo, mweupe au maji ya kunde
  9. Kifuniko

    Advanced Engineering Mathematics

    jamani naombeni mwenye soft copy ya kitabu cha Advanced engineering mathematics mwandishi ni K.A Stroud Natanguliza shukurani
  10. Kifuniko

    Je ungechagua upande gani?

    Mara nyingi maisha yanahitaji maamuzi magumu, ungechagua kipi?
  11. Kifuniko

    Mbinu za kuibia mtihani

    Hebu tukumbushane ni mbinu gani ya kuibia kwenye mtihani enzi zako ilitisha, mimi nakumbuka jamaa alichukua karatasi ya mwenzake ili aigilizie mwalimu akaja na akaganda bila kuondoka jamaa akashindwa kuirudisha na muda wa kukusanya umefika, mwenye karatasi akainuka vibaya akanyanyuka na meza...
  12. Kifuniko

    Makosa ya Barabarani na Faini Zake

    Wana JF naomba msaada kama kuna mtu ana list ya makosa mbalimbali na faini anayopaswa mtu kutozwa pindi anapokamatwa maana trafic wanaonea watu kwa kutokujua nini haki zao
  13. Kifuniko

    Ndizi Utumbo

    Hivi ukitaka kuagiza ndizi utumbo kwa kingereza utasemaje?
  14. Kifuniko

    Mzee Seleki - Old Moshi

    kwa wale mliosoma Old Moshi -PCM mnamkumbuka babu seleki aliekua mwalimu wa Adv Maths, yule mzee alikua kichwa sana, alikua anakuja bila any reference paper mwanzo form 5 mpaka form 6 anafundisha kwa kichwa kuanzia notes na mifano yote na majibu yake, aisee kila nikimkumbuka yule mzee sipati...
  15. Kifuniko

    Mtoto wa Beach

    Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2
  16. Kifuniko

    Utundu wa Google

    Kuna mtu anaweza kunipa msaada namna ya kujiondoa kwenye google search result let say kama unatitwa hamisi juma mtu akiandika asipate results zenye jina lako
  17. Kifuniko

    Vodacom

    Kuna rafiki yangu hayupo JF ila ameniomba nimuombee ushauri, yeye anamhisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine na wanawasiliana kwa simu, je akienda ofisi za vodacom watamsaidia kuchapisha meseji wanazochat ? nitangulize shukrani kwa msaada wenu tumuokoe ndugu yetu
  18. Kifuniko

    Sony bravia 32'

    Naombeni msaada kama kuna mtu anajua agent wa SONY kwa Tanzania nitawapa wapi wanipe msaada kitaalamu LCD yangu haiwaki inaonyesha taa red kama iko Standby mode lakini ukitumia remote kuwasha inakuja green kama inawaka then inarudi red, nitangulize shukrani kwa msaada wenu.
  19. Kifuniko

    Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza

    Jamani nina plot nauza ipo Nyamhongoro Block B, ina ukubwa wa sq m 640 (21mx30m) ina bomba la maji na nguzo ya umeme, ina vyumba 4 , library,dining, stoo , sebule na kitchen. Nyumba iko kwenye lenta. Atakaeonyesha nia bei tutaongea. Nawasilisha mada
  20. Kifuniko

    Newton's Law of Love

    First law: A boy in love with a girl continues to be in love with her and a girl in love with a boy continues to be in love with him, until and unless any external agent(brother or father of the girl) comes into play and breaks the legs of the boy. Second law: The rate of change of...
Back
Top Bottom