Search results

  1. muhamar Gadaf

    Nahitaji engine guard + tyre guard

    wadau, Nina hitaji zile cover za kufunika engine Kwa chini , pia tire guard za kuzuia tope. Mwenye nazo tuwasiliane 0655 944. 268 Shukrani sana
  2. muhamar Gadaf

    Muuzaji duka la dawa muhimu anahitajika

    wana bodi ,. Shaloom ! Nina uhitaji mkubwa wa dharula wa mhudumu wa duka la dawa muhimu. Duka lipo morogoro Chakula na malazi ni juu ya boss Mshahara 200,000 Simu namba 0655944268
  3. muhamar Gadaf

    Fao la uzazi kwa wanaume PSSSF

    Wanabodi, hivo ni sababu vipi zenye akili zilizoplekea sisi WANAUME tunyimwe FAO LA UZAZi katika mfuko was hifadhi ya jamii? Wenye mamlaka wanakuja na hoja dhaifu kabisa kua ....eti nyie wanaume mkiruhusiwa kupata hili FAO LA UZAZi Kila siku utakuja ukipeleka taarifa za kuzaa watoto wapya...
  4. muhamar Gadaf

    Muuzaji duka la sawa.

    Nahitaji muuzaji wa duka la dawa muhimu. Sehemu ya kazi ni morogoro Kula na kulala juu ya boss Mshahara 150,000 Hadi. 200,000 Mawasiliano. 0685 475595
  5. muhamar Gadaf

    CRDB hii sio haki kabisa

    Mimi natumia card ya NMB visa niko sehemu hakuna ATM za NMB na amua kuingia ATM ya CRDB . Baada ya kuingiza card mtandao unakua unasumbua sumbua.... kadi inamezwa Nafuatilia kadi yangu kwenye tawi la benki Eti naambiwa kadi ya NMB ikimezwa kwenye ATM za CRDB huwa hawarudishi kwa mteja husika...
  6. muhamar Gadaf

    Mkuu wa mkoa na Katibu mkuu wa wizara nani zaidi

    wana bodi..... hizi nafasi mbili zinanichanganya nashindwa kufahamu nani ni boss wa mwenzie kwa kuzingatia itifaki. Nafahamu hapa jukwaani wakuu wa mikoa na makatibu wakuu wa wizara mnapita pita hapa jukwaani tusaidieni sisi tunao penda kujua hili
  7. muhamar Gadaf

    kumekucha bundle za Dent ... makato M..pesa

    asalaleeee tulichukua bandke kule Dent sasa tunapokea sms za makato kutoka M....pesa tazama mwenyewe hapa chini
  8. muhamar Gadaf

    Tohara ya mwanaume

    niulize mimi chochote kuhusu tohara ya mwanaume. nitajibu maswali yenu zamu kwa zamu
  9. muhamar Gadaf

    Nakaribisha maswali yote kuhusu tohara ya mwanaume

    nakaribisha maswali yote kuhusu tohara ya mwanaume. Tohara ya mwanaume ya kitaalamu ni upasuaji mdogo wa kukata na kuondoa ngozi inayo funika kichwa cha uume. kazi hii hufanywa na wataalam wa afya walio pata mafunzo maalum ya kufanya tohara kwa mwanaume na watoto wachanga. Tafiti...
  10. muhamar Gadaf

    JF medical doctors and others

    karibuni hapa tufahamiane. kama wewe ni dokta / other health related professional coment hapa.
  11. muhamar Gadaf

    Kwanini Kibonde amezikwa Dar na si 'kwao' Mbeya?

    Nenda salama braza, nilikuwa na badonakubali sana swaga zako. Lakini najiuliza, ni kwanini familia yako imeamua kukuzika Dar es salaam na sio Mbeya kwenu ? Jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyotokea. Siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa Mara pale Musoma Mjini ( Kamnyonge )...
  12. muhamar Gadaf

    Man from bush; nimepotea kariakoo

    wakuu salaam ; nimepotea kariakoo, mapema leo asubuhi nilifika asubuhi kwa ajili ya shooping kidogo; nikakusanya mazaga mazaga , sasa tayati kwa kurudi....... kimbembe kikawa ni wapi pakupandia gari kuelekea ubungo...... nimejikuta natokezea posta.... dar sirudi tena Sent using Jamii Forums...
  13. muhamar Gadaf

    daaah; omba usikutane na hili.

    leo nimepigana kufa kupona , hii imetoka na jamaa mmoja kutaka kuniletea dharau mbele ya demu wangu ninaye mpenda. aiseee, kumbe jamaa lenyewe ni la dar, mwili mkubwa hakuna kitu. tulipo anza kuzichapa mnamo sekunde ya kumi nikamtwanga konde moja la uso...... akavumili kidogo, nikipiga nondo...
  14. muhamar Gadaf

    Tanzia: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Mukama afiwa na baba yake mzazi

    Mzee huyo Chilemeji Maendeleo Mukama mwenye umri wa takribani miaka 94 amefariki jana katika hospital ya Kibara Bunda mkoani Mara. Taarifa/ ratiba kamili italetwa hapa hapa jamvini Nyamhanga utusakilye.
  15. muhamar Gadaf

    Tanzia: Nimefiwa na babu yangu

    inna lillah wa inna illah rajiun. mwenye ezi mungu akufanyie wepesi babu huko uendapo amina
  16. muhamar Gadaf

    Sipendi kulala guest;

    wana forum, nina week moja sasa hapa jijini dodoma, kuna mafunzo flani hivi yanafanyika hapa milembe hospitali. changamoto ni sehemu ya kulala wakuu, nimezungukia guest za hapa karibu nimeonyeshwa vyumba vyao , mmmmmmh, kweli ni wachafu ! bei zao sasa ndo utachoka elfu 20 per dai. nikapata...
  17. muhamar Gadaf

    [color=red]msaada tafadhari.

    waungwana nisaidieni jina la apps nzuri ya video and audio downloader. _____________________ wasalaaam.
  18. muhamar Gadaf

    Msaada: Whatsapp yangu haina option ya setting

    whatsapp ninayo download haina icon ya setting help me plz where i can get the one with setting on the top, asante
  19. muhamar Gadaf

    Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    Leo katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku nimemuona mshikaji aki report kutoka TBC1 Mshikaji sasa kapotea wazi wazi.
  20. muhamar Gadaf

    TANZIA: Mbunge wa Gairo, Ahmad Shabibi afiwa na Binti yake

    Inna lillah wa ina illah rajiun, Mhe mbunge wa Gairo kafiwa na binti yake mkubwa jana jioni. Mazishi yatafanyika mchana huu mara baada ya Swalat dhuhur katika makaburi ya Kisutu. Poleni sana familia ndugu na marafiki kwa msiba wa mpendwa wetu. Mwenye ezi Mungu atawatia nguvu katika kipindi...
Back
Top Bottom