Search results

  1. MrConveter

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Cha ajabu huyo demu hakuna aliyeleta ushahidi hapa kwamba kapiga.
  2. MrConveter

    Fursa; usambazaji wa vinywaji vikali

    Kama nimelewa vizuri basi jamaa anazo document tu, mtaji hana, anataka mtu mwenye mtaji. Kama nimeweza kupata mtaji nitashindwa vipi kupata document stahiki kwa ajili ya biashara? Ni sawa na uwe na full document zinazohitajika kwa ajili ya passport lakini bado unapitia kwa kishoka.
  3. MrConveter

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Magufuli amefariki tangu 03/2021, Sukari imeadimika au haipo kuanzia 01-02/2024, Napata shida ni kwa jinsi gani Magufuli anahusika, naomba nisadiwe tafadhali…
  4. MrConveter

    Usimpoteze mwanamke mwema kwasababu alijamiiana na mwanaume mwingine kwa bahati mbaya

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yule jamaa wa Yanga.
  5. MrConveter

    Fali Ipupa ni mkali kumzidi Ferre Gora

    Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre. Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba.
  6. MrConveter

    Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Vita Imana 100 kilos Carte Rose
  7. MrConveter

    Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    100 kilos na Vita Imana hazina mpinzani.
  8. MrConveter

    Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Kwenye kipengele cha Rhumba kwa maoni yangu binafsi naenda na Ferre Gola le padre, Fally ni wa moto tena moto kweli kweli, Mayday unaweza kusikiliza 24/7 bila kuchoka ila Ferre is clear kwa masikio yangu. Ni kama battle ya Messi(Ferre) na Ronaldo(Fally).
  9. MrConveter

    Budget ni 650,000/= ninahitaji iPhone yoyote yenye macho matatu

    650k kupata macho matatu ni mtihani kidogo, at least bajeti ingekuwa 800-750 labda
  10. MrConveter

    Inasikitisha namna cement inavyotumika kutunyonya; serikali mpo kimya kwa manufaa ya nani?

    Hakuna mfanyabiashara anayepata 3,900/- kwa mfuko, hayupo.
  11. MrConveter

    House4Sale Nyumba inauzwa Kigamboni

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. MrConveter

    Ufundi wa mke wangu kitandani unanitisha! Anayajulia wapi yote haya

    Nipe namba yake nimuulize, naamini nikimbana vyema ataniambia ukweli.
  13. MrConveter

    Mfumo wa kisasa wa POS

    Salaam, Mfumo wako mbona kama ni ghali sana? Nimeshakutana na matangazo kadhaa hapo nyuma na bei zao zina-range 500k with installation, ya kwako ni 700k without installation. Au ni moja kwa moja hakuna yearly subscription?
  14. MrConveter

    Nipo hapa nakula album ya "Dynastie ii vol. 1" aisee Ferre Gola anajua

    Huu mkwaju (Carte Rose) haupo kwenye kwenye Dynastie 2, ndio nimegundua leo kuwa hizi Dynastie kumbe zipo tatu. Ahsante kwa kunifumbua macho, nakwenda kupakua.
  15. MrConveter

    Nipo hapa nakula album ya "Dynastie ii vol. 1" aisee Ferre Gola anajua

    Kuna mkwaju mmoja unaitwa Carte Rose, ni hatari sana.
  16. MrConveter

    Kati ya 100 kilos ya Ferre Gola VS Associe ya Fally Ipupa ipi ilikuwa na bado ni ngoma kali

    Vita Imana ni wimbo mkubwa sana kwa Associe. Ile ngoma ni habari nyingine. Ferre gola le Padre.
  17. MrConveter

    Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Haya ni maoni yako binafsi au mmekaa kikao mkakubaliana?
Back
Top Bottom