Pole mkuu, mm pia imewahi kunitokea. Mtoto wangu amezaliwa bila matatizo yoyote but amechelewa sana kuongea nimehangaika nae sana hosp. Ila nilichokifanya nilimuanzisha chekechea akiwa na miaka minne na alikuwa hawezi kutamka neno hata moja. Nikaona mabadiliko akawa anatamka but kwa shida sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.