Search results

  1. I

    siasa tanzania

    Jamani ndugu zangu nauliza hivi hapa TANZANIA kuna siasa za uchochezi:dance:
  2. I

    Nimeamua kujiunga na CCM

    Safi sana ndugu yangu umefanya maamuzi ya busara kabisa,kwa ushauli achana na hao wote wanao kukejeli bali tuzidi kushilikiana ili tuzidi kukihimarisha chama chetu cha mapinduzi
  3. I

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Hi people? Tukitaka tuhijenge nchi yetu basi nawaomba tuache malumbano,kutukanana,na kusemana maneno vibaya katika majukwaa ila nawambia tukiendelea na marumbano na kutukanana bsi hayo maisha bora na maendeleo tuta yasikia kwa nchi za wenzetu.
  4. I

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    okey ndugu zangu nilikuwa nawapima mawazo yenu ila ili tuweze kutoka katika umaskini tulio kuwa nao inabidi wote tushilikiane kwa pamoja kwa kusema basi ila tukibakia kulumbana katika majukwaa haitasaidia hata kidogo.
  5. I

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Tatizo lenu hamjielewi na inavyoonekana nyie wote ni vyama pinzani endeleeni hivyo hivyo na huo ujinga wenu mtabaki kusema tu na mpaka midomo yenu itawanuka kwa kusema vitu visivyo vya msingi.Kama mkekuwa na uchungu na nnchi yenu basi msinge fanya makosa 2010.ETI MNASEMA MIAKA 50 FOR NOTHING...
  6. I

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Maisha bora kwa mtanzania yanawezekana kuletwa na CCM na wala si chama kingine hapa Tanzania.Hivi vyama vingine kazi yao kuchochea vurugu na chuki kwa wananchi wa Tanzania.CHAMA CHA MAPINDUZI NI CHA CHA UKWELI KULIKO VYOTE HAPA TANZANIA.
Back
Top Bottom