Search results

  1. The only

    Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

    Ni stori za kusadikika ni mtazamo Tu wa nyaraka za enzi za Giza na ushirikiana za mesopotamia.ni kama stori za samaki mtu
  2. The only

    Tahadhari ya marafiki wasio rafiki

    Poa mdau
  3. The only

    Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu

    Hayo huwa mavitabu wanasoma wazungu .kuna muafrika anakosa marafiki?? Mm nilienda Minneapolis kwa mshikaji wangu aliuza madin akaita Wana kama wawili sasa nkakaa mwezi nkawa daily nakunywa baa moja mtaani asee wazungu walinikubali balaa nkawa naandaa ma house party mpaka majiran walikuwa...
  4. The only

    Tahadhari ya marafiki wasio rafiki

    Mm nimejikita paragraph ya mwisho .kwa mujibu wangu -Jamaa ni MTU yeyote ambae mnajuana na mahusiano yenu mema kwa kilichowakitanisha.ila hamna bond ya uwajibikaji.mfano hawezi kukuuliza kaka mbona skuiz hunipikii simu -Rafiki ni Jamaa ambae amejenga bond ya kimahusiano ya kiuwajibikaj.ukiona...
  5. The only

    Tahadhari ya marafiki wasio rafiki

    Hakuna rafiki asiyefaa ila ww ndo umeshindwa Jua kiwango cha kuweka mipaka .huwezi nambia kuana marafiki wawili wenye level Sawa wakati ninwanadamu wawili tofauti. Pia elewa rafiki huwa sio mama yako.sio ndugu yako.sio maiti wako wa Siri saizi na sababu kujua .sasa rafiki yako wa kuahangilia...
  6. The only

    Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Then kaweke kiwanja hakuna anaweza wekeza kwenye Ur intergrity wakati kakujua barabarani .kwa maelezo yako mtaji unaweza ukopa ukapata faida yote ww.huyu alikuwa anatafuna wazo la biashara sio patner .inamaana Huo ujuzi wa kuzungusha hela unaweza pata mil 1.5 kwa mwezi angeupata kijana mwenye...
  7. The only

    Nani alimtoa bikra mke wako?

    Mnavomplicate Sana maisha
  8. The only

    Nani alimtoa bikra mke wako?

    From experience woman body haiko unavodhan mkuu.mpe demu wako wasagaji wamsage afu tuone Ka atakurudia.
  9. The only

    Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

    Unaona dunian 70% ya dhahabu imezagaa ni iko baharini au wamevaa shingoni serikali zote zinayo asilimia 30 na mzigo wa kuchimba ambao geological association ya marekan wanaamin haijachimbwa ni 20% Tu ya yote ilowahi kuwepo duniani .kifupi baada ya Miaka 200 hakutajwa na Mtu anachimba dhahabu..so...
  10. The only

    Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

    Si kweli nyingi inatumika kwenye jewelry na viwandani Jua hakuna laptop a computer isona dhahabu resever iliyopo duniani hawahihitaji ni ndogo .walipokuja walikuwa na technology kubwa kupitiliza walifanyisha wanadamu kazi hasa kwa miaka zaidi ya 10000 ndo wajenzi wa mapyramid kama ni wali...
  11. The only

    Kwanini wazee wetu walipenda tuoe wanawake bikira?

    Mm mwanamke anaenipenda na kunijali anathamani ya bikra 100 .ntakana mabikra wote niwe na Mtu ambae wote tunaogopa kupotezana.
  12. The only

    Nani alimtoa bikra mke wako?

    Pia bado vilele viko Aina kama 100 1.kuna anajua kusugua mpaka kumkojoza (orgasm) 2.kuna kumtoa maji(hii asilimia 90)ya wanaume hawajui.utasikia demu wangu Hana maji .tuletee wahuni mmoja Alizaa watoto 3 nilimtoa nusu Lita atadhangaa 3.kuna orgasm ya kuliwa jicho.jiulize kwa nn wanawake...
  13. The only

    Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Mkuu mtafute huyu kuna mwanga hapa.ila aweke dhamana ya Mali isiyohamishika yenye thamani ya 15 mil na mikataba isainiwe kwa mwanasheria mkewe ahusike
  14. The only

    Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

    Kakodi shamba nafco unenepeshe ngombe baada ya mwaka unitumie laki yangu
  15. The only

    Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Kama huna shughuli nyingine yeyote nikimaanisha unaweza simamia mwenyewe 100% .Fanya biashara ya kununua magari number d yasiyomaliza mafuta kama ist.vits.paso .unayakarabati unaenda uza mkoani .hukosi mil 2 Hadi 5 kila mwezi.
  16. The only

    Mungu hakupi unachotaka

    Sayansi gani hapo ametumia?
  17. The only

    Mungu hakupi unachotaka

    Mm pia nasimamia hii
Back
Top Bottom