Search results

  1. P

    TANZIA John Mwankenja auawa kwa risasi

    alikuwa ameshajivua gamba au kafa na gamba lake?
  2. P

    Polisi na serikali raia na Mungu wao

    Juzi tu raia walimwua askari polisi mmoja huko Tabora na sauti za kikubwa zikasikika na walifika eneo la tukio bila kuchelewa na kutoa kauli kali sana. Kabla ya hapo mashamba ya wawekezaji (Wakoloni wa kisasa) yalichomwa moto kule Mbulu na serikali ilituma mawaziri sita kwenda kushughulikia...
  3. P

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    hivyoo! dah angalieni asije akaanza kudonokea huko windhoke aliko.
  4. P

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    vp JK alishapata newz au watamsubiri arejee kutoka windhoke please msimsahu Marine wa jambo tanzania
  5. P

    watanzania na kusoma uingereza

    ebu bofya uone mchakato mzima.
  6. P

    Mauaji ya Nyamongo na majibu rahisi ya Kagasheki

    Naibu waziri wa mambo ya ndani ndugu Juma Kagasheki amekuwa akisema kwenye vyombo vya habari kuwa kuna mmbunge wa chama fulani tena kutoka nje ya mkoa wa Mara ambaye yuko mkoani Mara na ndiye chanzo cha vurugu hizo kwani amekuwa akichochea raia kukataa kuwazika ndugu zao. Yeye akiwa kama...
Back
Top Bottom