Search results

  1. Amante

    Soko la miwa la uhakika

    Je wewe ni mkulima wa miwa na huna soko lenye tija la kuuza miwa yako. Njoo nikuunganishe na soko la uhakika na lenye faida... Utasimamia mwenyewe hatua zote kuanzia shamba hadi sokoni. Email: eckomagri@gmail.com Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  2. Amante

    Ukihonga elfu 10 ni sawa na!!!

    Kuna sehemu nimelipata hili wadau nikaona nililete hapa jamvini kwamba eti ukihonga elfu 10 ni sawa na 1.Kuku nyama1 2.Nyama ya ng'ombe 1.5kg 3.Sukari 3kg 4.Mchele super 4kg 5.Maziwa ng'ombe 4Lt 6.Soda T-away10 7.Castle lt4 8.Petrol 4lt 9.Safari 14 mwendokasi 10.Mayai kisasa 1tr...
  3. Amante

    Wajibu wa mume kwa mkewe

    Habari wanajamvi. Hapa nitazungumzia baadhi tu ya haki za mke kutoka kwa mume ambazo aidha miongoni mwetu hawzifahamu ama wanazifahamu lakini hawazitekelezi. Kutimiza haki hizi kutaongeza mapenzi na uimara wa ndoa. 1) Kuishi naye kwa wema. Ni wajibu wa mume kuishi na mkewe kwa tabia njema...
  4. Amante

    Proof to Atheists

    Here are four straightforward reasons to believe that God is really there. 1. The complexity of our planet points to a deliberate Designer who not only created our universe, but sustains it today. Many examples showing God's design could be given, possibly with no end. But here are a few: The...
  5. Amante

    Kunachangamoto gani kwa wanaotumia laini za uwakala used?

    Habari wana jf, naomba kufahamu kwa wale waliowahi kununua laini za uwakala kama tigo pesa na mpesa zilizotumika ama zimesajiliwa na majina mengine kuna changamoto zozote zimewahi kuwakuta kwa kutumia lain hizo?
Back
Top Bottom