Search results

  1. ManCity

    Are you an Accountant??

    CLOSED: We have found ONE: Thanks
  2. ManCity

    Natafuta nyumba ya kupanga Mororgoro

    Ipo nyumba Mazimbu..Ina rooms 3 (One Masters), Jiko, Seating, Dinning Room, ina fence, full tiles bei 300k kwa mwezi Gari linafika na ina geti zuri: Vp utahitaji???????????????? Check mi out
  3. ManCity

    Natafuta mke

    MamaMkwe. naishi DsM-Ilala, Umri: Abt 30yrs: Asili-Sukuma: I am a Christians huwa hatuna ndoa za siku mbili: Current employed+Small Business Manager
  4. ManCity

    Natafuta mke

    Uzuri ni mvuto wa asili na siyo wa dukani kivile..asiwe amejichubua uso..natural colour muhimu.. But most of all napenda awe na tabasamu zuri sana...
  5. ManCity

    Natafuta mke

    Jamann... Mie mwenzenu umri unakaribia kunitupa...sasa nahitaji wife wa kuishi nae .. Yeyote mwenye contacts za msichana mzuri, tall, midweight (60-70kgs), any natural colour, educated ani PM... Cna tatizo kuhusu background yake, mana najua ni historia ntamkubali kama alivyo... Location...
  6. ManCity

    Je unauza gari????

    Wana JF Napenda kuwataarifu nimefanikiwa kufungua SHOWROOM ya kuuza magari pale maeneo ya Magomeni, ipo barabarani kabisa... Kwa yeyote anayeuza gari anaeza kuni-PM tukakubaliana terms za kupark kwenye showroom....Gari zinatakiwa kuwa katika hali nzuri ili kutengeneza reputation ya showroom...
  7. ManCity

    Imported Toyota Coaster Bus for Sale (Fully Registered)

    Mazingira: Nimeongeza details za gari unaeza kureview: Year 1997: Milleage 72,000kms
  8. ManCity

    Imported Toyota Coaster Bus for Sale (Fully Registered)

    Bus limeingia Nov 2011 halijatumika Tanzania kabisa, limepakiwa kwenye showroom moja maeneo ya Shekilango.. Serious buyers drop message....Starting Price 60m...Bargainable Year: 1997, Milleage: 72,000kms, Transmission: Manual Transmission Engine Type: 1HZ, Seating Capacity: 29 Passengers
  9. ManCity

    Recycling companys

    Babalao: Mimi nina soko la vyuma chakavu nje ya nchi..Nadhani bado una network ya market..Je unaweza kusource in large quatity tukawa tuna-export???? Nadhani itakuwa profitable zaidi.
  10. ManCity

    taxes -importing car from zanzibar

    Charges za customs taxes on importation zote za magari kutoka Zanzibar to Tanganyika hua zafanywa on differential tax method..hapa namaanisha ukinunua gari zanzibar ambalo lililipiwa kodi ya Tshs. 2m na kwa muda ambapo unalodge documents lipate sajili Tanganyika kama kodi stahili ya hilo gari ni...
  11. ManCity

    Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

    Classical: Asili ya mtu ina-mshape kuwa na tabia fulani. Nina fanya kazi na mama mmoja ambaye ni MPARE, hua mara kwa mara anakuwa na ugomvi na mumewe kiasi mie ndo nimekuwa rafiki yake mana hua ananieleza vyote. Cku moja akaniambia hua anawaambia watoto wake wa kike kuwa wakiolewa wafanya mbinu...
  12. ManCity

    Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

    Nyumba Kubwa: Hivi out of 100 couples zilizokuwa famous chuoni kwenu ngapi wamefanikiwa mpaka kuoana, hapa nadhani weza kuta moja au mbili...Wajua wewe unazungumzia maisha ya kwenye BONGO movies mana vijana wanapomaliza chuo wanakuwa na wakati mwingine tena kutafta kazi...Mmoja anaeza pata kazi...
  13. ManCity

    Kiwanja kinauzwa GOBA (Tegeta A)

    je kina hati miliki ????????????
  14. ManCity

    Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

    Asha: Kuhusu kujua malezi mtu kalelewa kidogo ni ngumu sana siku hizi...maaana kwa siye ambao tayari tupo kwenye labour market muda mwingi twatumia kufanya kazi za MWAJIRI na muda kidogo unabaki kwa ajili ya kufanya huo uchunguzi wa maisha mtu alolelewa...na mbaya zaidi mtu kalelewa BUSH mjini...
  15. ManCity

    Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

    Okada: Mpaka nawasilisha mada hii kuna jambo limenikuta hapa kati..nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda sana yeye ni Mnyakyusa..cha kushangaza mara tu nilipomuapproach hata hatujaenda far kwenye mahusiano akanza kunitumia message.. Mara oooh dada yangu anataka kukuona, mara mama anakuja...
  16. ManCity

    Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

    Wadau.. Nipo mbioni kutafuta msichana ambaye kama mambo yakienda vizuri tufunge naye pingu za maisha. Kuna vigezo vichache ninavyo ila naombeni munisaidie kujua kama aina ya kabila nalo ni jambo muhimu kuzingatia wakati natafta mwenza. Nawasilisha
  17. ManCity

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    Kuhusu Zito kuwa mbinafsi kidogo naona si kweli. Wajua mpaka muda budget ya upinzani inasomwa tayari watu wengi watakuwa aware na ishu ya Zito kukataa malipo ya sitting allowance. Sasa hapo kambi ya upinzani nayo kama team itakapokataa awareness kwa public inaeza kuwa mara tatu au zaidi na...
  18. ManCity

    Nauza kura yangu

    Wadau Majuzi nlipita mahali nikasikia wimbo wa NAUZA KURA YANGU, hivi hatuwezi sambaza wimbo huu kila KONA ya Tanzania watu wakajua vitu vya msingi pale mgombea anapotaka kununua KURA zao? Embu pateni kusikiliza afu tuanze kusambaza wimbo huu kote Tanzania towards 2015 mana tunaelekea pabaya...
  19. ManCity

    DSTV wanalipa Kodi?

    Msheku: Malipo ya ankara mteja anayolipa kwa mwezi huwa hayatozwi kodi ya VAT mana Parent Company ndo anaraise invoice moja kwa moja kwa mteja. Collection zinafanywa kwenye their offshore accounts. Hapa nchini inayolipa kodi ya mapato ni subsidiary company yao ambayo ndo inauza ving'amuzi vya...
  20. ManCity

    DSTV wanalipa Kodi?

    Tatizo hapa si mamlaka ya kodi TRA kushindwa kusimamia kodi bali watungaji washeria za nchi. Naomba kidogo nitoe uelewa wangu jinsi DSTV wanavyooperate in Tanzania na jinsi sheria zilivyokuwa na loopholes. DSTV wao wanatoa huduma kupitia digital systems ambazo zinasource matangazo toka South...
Back
Top Bottom