Search results

  1. D23

    Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Ndo maana nimekueleza nina experience na sijapita shule moja tangu enzi za Rungwe mchanganyiko,Loleza , Green Acres, Bukongo na baadhi ya vyuo unavyovifahamuu mwalimu wa kiume haingii bweni la kike na wa kike haingii bweni la kiume na wanafunzi wakiwa wana mmudu matroni na zamu ni ya mwalimu wa...
  2. D23

    Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Kiduku ni muonekano wake ila suala kubakwa bwenini hiyo fix ya kiwango cha rami hizo shule nimesoma tumekutana na walimu wanoko kuliko hata huyo Jimmy unaesema mnoko lakini haruhusiwi hata kidogo kwenda bweni la wasichana hata awe mkuu wa shule bila kibali.
  3. D23

    Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Kama umesoma shule ya bweni utajua ni namna gani binti alivyo muongo muongo Mwalimu wa kiume bweni la wasichana hiyo labda pandahill tu.Sijawahi kuona O-level, A-level vyuo vya kati nina experince zaidi ya miaka 10 sijawahi kuona mwalimu wa kiume bweni la wasichana.Akienda lazima awe na kibali...
  4. D23

  5. D23

    Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Mmhh shule za bweni unajua zinavyoendeshwa hasa za kike mwalimu wa kiume haruhusiwi kuingia bwenini kuna matron hata wanafunzi wakienda kula matroni ndiye hubaki kuangalia utaratibu waliobaki bado bwenini waliorudi na nani bado hajarudi so fikiria mwalimu kwa uwezo wake wa kufikiri kweli aingie...
  6. D23

    Umewahi kutembelea familia yenye toto lililodekezwa?!

    Ndo hivo mzazi anafurahi hata kumkanya mtt no, mpaka leo sijagusa tena hiyo nyumba
  7. D23

    Umewahi kutembelea familia yenye toto lililodekezwa?!

    Kuna dogo ana 4yrs ana matusi utadhan kahitimu chuo.Mtoto awaambie wagen **** nyie ntawatia dudu mama anafurahiii hahaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo mwanangu alivyo.
  8. D23

    Umewahi kutembelea familia yenye toto lililodekezwa?!

    Itakuwa hujakutana na mtt anayelelewa kama yai ww
  9. D23

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kama kuna mwl aliyepo iringa anataka kwenda songwe anichek inbox Nimpe namba ya huyo mwl anayetaka kubadilishana
  10. D23

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nahitaji mtu wa kubadilishana nae nipo Ukerewe nahitaji mtu wa 1.Iringa 2.Njombe na 3.Mbeya Kwa mawasiliano nichek inbox
  11. D23

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mawasiliano nichek inbox
  12. D23

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Ukerewe nije Iringa au njombe
Back
Top Bottom