Umeongea jambo la msingi sana,lkn kwa uvivu wa wa Tz wakufikiri watakubishia hadi kesho,cha msingi wapika majungu,nikuwaacha waamini vile wanavyoamini,huwezi kuwabadilisha haraka kitu walicholishwa,na kuaminishwa toka wakiwa matumboni mwa mama zao
Miti yangu ya miparachichi baadhi huanza kunyauka hadi inspukutisha majani yote na kubaki kijifito tu,baadaye huanza kuotesha majani upya,na mengine haioteshi tena,nini ufumbuzi wa changamoto hii?
Niko na takriba
Ni ekari 20 za miparachichi ambazo nimeanza kupanda kuanzia mwaka jana na mwaka huu shughuli zinaendelea,tamaa ya moyo wangu ni kuwa pia na shamba la mikorosho ktk maeneo Morogoro au Iringa.
Lkn ipo hofu kidogo juu ya haya mazao ambayo soko lake asilimia mia ni la nje,je kinini...
Asante sana mkubwa kwa jitihada zako za kutuelimisha na kuhamasisha ukulima huu wa korosho.
Samahani nina swali ambalo lipo nje kidogo na mada yako ya leo,ni hivi kuna taarifa kuwa sababu ya korosho yetu kuwa na soko ni kwa kuwa inatoka msimu ambao duniani kote hawavuni.
Je, ni habari za...
hongera mwalimu kwa mawazo yako chanya,simamia wazo lako kwa gharama yoyote,naamini utapata vikwazo vya kukatishwa tamaa,usigeuke nyuma...
mimi sio mwalimu,but ninao ndugu zangu ambao ni walimu na nipo tayari kuwalipia hata wawili ili mradi ziwekwe taratibu zilizowazi...
napengine kwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.