Search results

  1. HAKUNAMATATA

    Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Wakati vita inaanza kule Iraq March 06 2023 Us alipeleka wanajeshi 150,000 na Washirika wake kwa umoja wao walipeleka wanajeshi 23,000 (Idadi kubwa ilitolewa na UK na Idadi ndogo zaidi ilitolewa na Australia) Kwa mantiki hiyo huwezi kusema US anategemea washirika ili kupigana vita, ila ukweli...
  2. HAKUNAMATATA

    Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Wadanganyika hua mnahisi US Navy ni kama M23 au JWTZ[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  3. HAKUNAMATATA

    Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Ulituaminisha Saddam Hussein na Muamar Gaddaf wana majeshi bora kabsa. Lakini US alimaliza mchezo mapema mno.
  4. HAKUNAMATATA

    Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Siku US akisema aipige Yemen full scale war nadhani hiyo vita haitazidi siku 90 kabla ya Houth kuomba POO.
  5. HAKUNAMATATA

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Form tuliyo nayo ni kubwa. Sprit waliyo nayo wachezaji ni kubwa sana. Camavinga, Kroos na Valverde wanachakaza dimba kupita kiasi. Vini, Jude na Rodryigo wanauwasha moto. Carvajal na Tchoumen ni wachezaji wazuri. Ni vizuri tukampata Davies kama 1st choice mbele ya Mendy. Lunini kaziba...
  6. HAKUNAMATATA

    Urusi ina Jeshi lenye nguvu na bora zaidi duniani

    Mkuu Umeona juzi kati hapo jamaa kwa kutumia B-1 zao wamepiga target 85 huko Iraq na Syria kwa direct flight kutoka USA to hizo nchi tena kwa precision kubwa sana? Ni taifa gani kwa sasa linaweza fanya hii mission ya kupiga targets kwenye nchi 4 tofauti kwa usiku mmoja kwa direct flights toka...
  7. HAKUNAMATATA

    Unakumbuka tukio gani la Sergio Ramos?

    Tukio ambalo yeye na Pepe walimfanyia faulo kwa pamoja bwana Messi. Goli alilowafunga Atletico Madrid dakika ya 92 kwenye fainali ya Uefa ni rekodi nzuri pia. Kabla ya kufunga goli hilo Atletico walikua wanaongoza kwa goli 1 bila na zilibaki dakika 3 tu watangazwe kua mabingwa wa ulaya...
  8. HAKUNAMATATA

    Urusi ina Jeshi lenye nguvu na bora zaidi duniani

    Ngoja nikupe mfano mmoja. Kwenye vita ya Iraq troops zilikua hivi…….. US- 400,000+ UK - 45,000+ Australia - 2000+ Spain - 1000+ Poland - 200+ Hapo utasema US alitegemea troops za NATO 100%??
  9. HAKUNAMATATA

    Urusi ina Jeshi lenye nguvu na bora zaidi duniani

    Hizi ni small operations tu kama anazofanya US kule somalia na Yemen Sio full scale war
  10. HAKUNAMATATA

    Urusi ina Jeshi lenye nguvu na bora zaidi duniani

    Ndio maana halisi ya kua super power
  11. HAKUNAMATATA

    Urusi ina Jeshi lenye nguvu na bora zaidi duniani

    Hatuwapendi US ila linapokuja suala la uwezo kijeshi na modern warfare inabidi tukubali tu kwamba jamaa wapo kwenye level zao peke yao na uzoefu mkubwa sana. Katika era hizi sio Russia wala China inayoweza kupigana vita 2 kwa wakati mmoja kwa muda mrefu na operations zingine za kijeshi...
  12. HAKUNAMATATA

    Sugu asithubutu kuchukua fomu kushindana na Dkt. Tulia Mbeya mjini, hakuna mwenye akili timamu atakayempigia kura tena

    Kwa kumbukumbu zangu SUGU ndie mbunge aliechaguliwa kwa kura nyingi zaidi katika historia ya uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa ngazi ya jimbo.
  13. HAKUNAMATATA

    Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Unahisi unajua sana kuliko wanasheria wao?
  14. HAKUNAMATATA

    Museveni azijibu kibabe nchi za Magharibi pamoja na kuwekewa vikwazo

    Wananchi wanashinda njaa. Yeye yupo ikulu anakula tende na juice na ulinzi wa kutosha kwa kutumia silaha za hao wester.
  15. HAKUNAMATATA

    Ndio tuseme Mbowe kapoteza nafasi adhimu nyingine?

    Mbowe angekua mlaini kama ambavyo hua mnataka watu waamini hivyo sidhani kama angekua hivyo leo. Mbatia, Lipumba, Mrema na Zitto wapo wapi ukilinganisha na Mbowe?
  16. HAKUNAMATATA

    Taifa lolote lenye nguvu duniani linajengwa na Wasomi

    Unamfahamu Muhongo binafsi au umemjua kupitia CCM?
  17. HAKUNAMATATA

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Incase tutakua na 1st eleven hii, tutapata motokeo mapema tu. Uwepo wa Camavinga katikati utavuruga plans za City. Fede kucheza right winger itatusadia kwenye transition za kuattack na kudefense simultaneously.
  18. HAKUNAMATATA

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Press Conference: Real Madrid Carlo Ancelotti spoke in the press room at the Etihad Stadium on the eve of the clash with Manchester City in the return leg of the Champions League semi-finals (9pm CET): “My plan is the same as always: to try to get the best out of our team both individually and...
  19. HAKUNAMATATA

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wakianza Militao na Rudiger itapendeza sana. Alaba akae bench just in case. Hivi kwanini faulo nyingi anapiga Alaba wakati Asensio/Rodyrigo/Kroos wana accuracy kubwa kuliko yeye, hua sielewi.
Back
Top Bottom