Search results

  1. Ocran

    Katika harakati za kutongoza/kutongozwa ni jibu gani la ajabu uliwahi kupewa hautosahau

    Katika harakati za kutongoza/kutongozwa ni jibu gani la ajabu uliwahi kupewa hautosahau [emoji28][emoji116]
  2. Ocran

    Kanisa la mlima wa moto linapatikana wapi kwa Dar?

    Habari wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kwenda kusali jumapili hii kwenye ilo kanisa.
  3. Ocran

    Single mother's ujumbe wenu mzuri huu apa

    Picha hii ilipigwa mwaka 2013 katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara, nchini Kenya na mpiga picha za wanyama (wildlife photographer) Alison Buttigieg, na ilishinda kuwa picha bora ya mwaka katika tuzo za habari huko Australia. Swala huyu anayesulubiwa na chui hawa, ni Mama wa watoto wawili...
  4. Ocran

    Kifo cha mchungaji Daniel Abodunrin wa Nigeria kilichowashangaza Walimwengu

    Habari wana JF, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kuna kisa nimekisoma mtandani kutoka pande za naija(Nigeria) mnamo mwaka 1991 kuna mchungaji maarufu kwa jina la Daniel Abodunrin aliingia kwenye zoo ya Simba ili atengeze historia kama ya daniel wa kwenye Biblia Bahati mbaya au maksudi...
  5. Ocran

    Itumie jumapili usiku namna hii

    Jumapili Usiku/Sunday Night !! Jumapili Usiku ndiyo wakati sahihi wa kuipanga week yako nzima iliyo usoni mwako !! Pata mda usiku ukiwa umetulia jumapili......andika malengo yako unayotaka kuyakamilisha ndani ya week husika. Jiwekee walau kila siku hakikisha una vitu vitatu umekamilisha au...
  6. Ocran

    Jitazame je unastahili kupumzika weekend hii?

    Angalia Bill zako, angalia ndoto zako, angalia malengo yako kwa kias gani umeyatimiza, angalia kwenye hali yako ya sasa iko vipi, angalia akaunti yako, jiulize wikiendi una haki ya kupumzika ???! Nice weekend wapendwa
  7. Ocran

    Probability ya kuolewa na kuoa hii hapa

    Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao. Sasa tumeamua kuutoa mbele ya Watanzania! Kama hujui hesabu hasa Probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu kuolewa au kuoa hasahasa nchini Tanzania. *WANAWAKE* 1. Ukiwa...
  8. Ocran

    Maisha ya mwanaume duniani bila hela ni sawa na jehanamu

    Maisha ya mwanaume duniani bila hela ni sawa na jehanamu. Mimi sijui kwa wengine, lakini kuishi duniani kwa mwanaume bila hela hata upendwe vipi na mwanamke mwenye pesa, kuna mateso ya kiume lazima uyapate. Unless kama huna ego ya mwanaume. Lakini kama ni mwanaume kabisa.....na unaishi na mke...
  9. Ocran

    Mbinguni sio rahisi kama mnavyo fikiri, tuache kumsingizia Mungu

    Nina wasiwasi kuwa ukikubali kuwa huwezi ku-make tena duniani kwa kukubali kuwa mambo ni magumu sana au sina mtaji na visingizio vingi. Na baada ya hapo ukaweka matumaini yote huko mbinguni kwa kudhani kuwa huko mbinguni mambo yatakuwa mteremko na Raha mstarehe. Nina wasiwasi kuwa huko juu...
  10. Ocran

    Kabla hujaanza wiki mpya fuata mpangilio huu ili kupanga wiki yako

    Kabla haujaanza wiki yako Fanya kitu kinaitwa "Week Mapping":Hii inajumlisha kufanya mambo yafuatayo: 1) Kuamua ni mambo gani makubwa ambayo unakusudia Kuyatimiza kwa wiki hii na uyaandike(usiyaweke kichwani tu). 2) Utachukua hatua gani/utafanya nini. Andika orodha ya mambo ambayo utayafanya...
  11. Ocran

    Alikiba pale anaposema wanamuita kipusa ananichanganya

    Habari za muda huu wapendwa, naomba mnisaidie mnaojua kiswahili vizuri, kuna seem kwenye wimbo mpya wa alikiba anasema kapewa majina mengi, wanamuita kipusa, na mimi naelewa maana ya kipusa ni mwanamke mrembo/mzuri, naomba mnijuze zaidi maana ya kipusa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom