Search results

  1. T

    Jamani nna swali nijibuni..

    jamani wana f\jf, naombeni msaada jinsi ya kuapply kazi form utumishi mana napata utata, mfano kazi ina waajiri wengi ie wizara aya fedha, wizara ya maji n.k, je nkiapply tume ya ajira mojakwamoja watajua naaply kwa mwajiri yupi? au nafanyaje? mfano hizi post za juzijuzi kazi ya assistanjt...
  2. T

    St. John interview short list iliyosemekana imetolewa ipo wapi?

    [Jana kuna mtu kanipigia cm akasema st john wametoa short list yao,hebu nisaidieni ipo gazeti gani wana JF] vipi ndugu yangu, umelipa hilo gazebo?, kama unmelipata hebu tujuze ili tulitafute, ni gazeti gani?
  3. T

    Training opportunity at TCAA

    jamani wana jf, naomba kama kuna mtu mwenye zile post za training apportunity at TCAA za gazeti la mwananchi tarehe 10 aniwekee, deadline ni 21/10 naombeni msaada ni post gani?
  4. T

    Kuitwa kwenye usaili UDOM

    eti wana jf, mi nataka kufahamu kama udom washaita mana nasikilizia naona kimya, vp wenzangu kuna tetesi zozote za huko udom? kulikoni??
  5. T

    Udom interview

    Vp wana jf, udom washaita?
  6. T

    Puts 10-11, puts 12-13, puts 14-15, puts 20, jionee kama hujuwi hii kitu.

    mi ninavyojua hizo PUTS zinategemeana na miaka mtu aliyokaaa kazini, kuna kitu kinaitwa nochi, kama ni new employee utapata nochi ya kwanza yaani PUTS 12 nochi ya kwanza, muda unavyoongezeka unapanda unaingia nochi nyingine up to mazmum level, so . so usishangae level moja as TA lakini salary...
  7. T

    Nao washaita

    habari wana jf, eti vipi post za NAO mbona kimya sanaaaaa?
  8. T

    Nafasi za kazi SUA

    asante mkuu
  9. T

    interview FINCA

    jamani wana jf yeyote anayejua kuhusu FINCA naomba msaada kama wameshaanza kuita watu kwenye interview mana nimeapply ila cjapata feedback yeyote ile.
Back
Top Bottom