Search results

  1. i-Business Consult

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mkuu Kwanza unatakiwa kubuni jina ambalo halifanani na jina la kampuni nyingine. Waweza kujaribu kufanya official search( njia hii ni gharama ya sh 20,000-BRELA FEES). Ukipata jina then unatakiwa kuandaa MEMORANDUM and ARTICLES OF ASSOCIATION (unaweza kuwaona wanasheria au business consultants...
  2. i-Business Consult

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mkuu naomba kuchangia kama ifuatavyo Katika usajili wa kampuni ambayo ni limited by shares kuna Memorandum of Association na Articles od Association (Memorandum and Articles of Association) . Ss katika hiyo Memorandum unaweza kuorodhesha biashara mbali mbali ambazo unafanya na unaweza kufanya...
  3. i-Business Consult

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Naomba nikujibu maswali yako kama ifuatavyo 1. Kufngua kampuni Limited company inafunguliwa kwa kuwa na Memorandum na Articles of Association. Ss katika Memorandum hapo utaona ofisi za kampuni zinasajiliwa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini eneo la ofisi hata nyumbani kwako waweza...
  4. i-Business Consult

    Karibu I-Business Consult ltd

    Asante Mkuu!!!
  5. i-Business Consult

    Karibu I-Business Consult ltd

    Habari wadau Karibuni kwa huduma zote kama bango linavyojieleza hapo chini
  6. i-Business Consult

    Jina la biashara vs Leseni

    Ndiyo hilo linawezekana
  7. i-Business Consult

    Wanahitajika vijana wawili haraka!

    Soma vizuri tangazo Kazi hy sio ya kuzunguka bali kuna majengo maalum ambayo yameunganishwa na waya za fiber kwa ajili ya internet. Hivyo unakuwa na sehemu kama kibanda ndani ya jengo mahala kama karibu na lift mfano. Hivyo watu wanaoingia au kutoka ktk jengo husika unaongea nao na kuwapa...
  8. i-Business Consult

    Wanahitajika vijana wawili haraka!

    Upo sahihi Lakini kumbuka kuna hawa wanalipwa kwa mwezi mishahara ya kiasi cha sh 200k, 250k, 300k na hata 350k ambayo gawanya kwa siku 26 utapata jibu Hivyo inategemea na mtazamo wako
  9. i-Business Consult

    Wanahitajika vijana wawili haraka!

    Huyu anaeidharau 12,000/= na kusema ndogo, wapo wengine hata hiyo kubwa sana wanapata hapa hapa Dar tena kwa kazi ngumu ya kuvuja jasho na kushinda juani.
  10. i-Business Consult

    Wanahitajika vijana wawili haraka!

    Tunatoa fursa kwa mtu yoyote pasina kujali ni mtaani kwangu au sehemu nyingi. Linalofaa ni kuwa muhusika afae katika nafasi
  11. i-Business Consult

    Wanahitajika vijana wawili haraka!

    Wakuu hebu jaribuni kupitia vibarua wanalipwa sh ngapi na inakuwa full time mosi, pili hebu tupitie ratiba ya kazi yenyewe ni masaa kama nane tu tena kwa interval. Kugawa vipeperushi na kumuelezea mtu na tena kuna muda kama una issue zako unaenda kufanya Anyway, jaribu kuchunguza mtaani watu...
  12. i-Business Consult

    Wanahitajika vijana wawili haraka!

    Habari! Wanahitajika vijana wawili kwa ajili ya kufanya kazi ya masoko ya muda mfupi wa siku saba na malipo ni kwa siku Elimu Kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Kujua kuongea Kiingereza kwa Ufasaha ni lazima Majukumu Kuitangaza bidhaa kwa kugawa vipeperushi na kuwapa maelezo wateja juu ya...
  13. i-Business Consult

    Biashara ya Usafirishaji wa Mizigo kwa Malori Makubwa: Jifunze Uzoefu, Miongozo, Faida na Changamoto Zake

    Karibu sana Ofisi zetu zipo Jengo la Mariam Tower, ghorofa ya nne, mtaa wa makutano ya Shaurimoyo na Lindi! Simu:0659211222 Barua pepe: iconsultbuzness@gmail.com
  14. i-Business Consult

    Natafuta dalali ataeweza nitaftia takeover wa kampuni yenye worth 1.6....bil..

    Mkuu ushauri tu Kampuni yetu sio madalali wala hatuhitaji kununua au kuwekeza! Lakini kutokana na uzoefu tuliokuwa nao hasa katika masuala haya ya kuuza au kuwekeza katika makampuni kupitia makampuni mengi kuja kupata ushauri Nakushauri ungeweka japo kwa muhtasari kampuni yenu inafanya shughuli...
  15. i-Business Consult

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Karibu I-Business Consult, hotline 0659211222, email: iconsultbuzness@gmail.com Angalizo Kuna uzi humu waweza kuutafuta kupata maelezo vilevile
  16. i-Business Consult

    Naomba ushauri wa kuanzisha kampuni ya Recycling

    Karibu i-business consult kwa ushauri, muongozo, kuandikiwa Mchanganuo, usajili na masuala yote yanayohusiana na biashara yako. Email:iconsultbuzness@gmail.com, hotline: 0659211222/0777777766
  17. i-Business Consult

    Maswali gani ya kujiuliza kabla hujafungua biashara yoyote???

    Rejea uzi huu: Ewe mfanyabiashara/Mjasiriamali zingatia haya kabla ya kuanza biashara/wazo la biashara
Back
Top Bottom