Mkuu hebu tujuze kidogo, Inamaana unatengeneza nyingi halafu unakuwa unakunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni au unakuwa unatengeneza kila unapotaka kunywa yaani asubuhi unasaga hiyo juice kijiko kimoja na jioni? au inakuwaje mkuu
Hapo kwenye fomula mkuu hebu tujuze, inamaana unatengeneza nyingi halafu unakuwa unakunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni , au unatengeneza kila unapotaka kunywa tuu?
Mwana fanya juu chini ufikie malengo maana usije kaa kimya unasubili siku ifike kumbe unatatizo you better know ili wakati wa kuoa ukifika usipate shida, Just select one whom you think is real loving you cheza naye yeye mwenyewe atakuonyesha nini cha kufanya,Ila usije nogewa ukaendeleza huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.