Search results

  1. F

    Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
  2. F

    Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  3. F

    ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

    Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge. Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
  4. F

    Ole Ngurumwa: Wajumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi

    Source: Clouds FM Power Breakfast. Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale. Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya...
  5. F

    ITV dk 45: Rais Karume akiri kuandaliwa kuwa Rais wa Zanzibar

    Rais wa zanzibar 2000 hadi 2010 Amani Abeid Karume, akiri kuandaliwa kuchukua wadhifa huo. Akihojiwa ktk kipindi cha ITV DK 45 leo usiku, amesema aliitwa na wazee na kuambiwa Dkt Salmin anamaliza muda wake "Tunataka wewe uwe Rais" Baada ya hapo alienda kuchukua fomu ya urais na ktk mchujo...
  6. F

    Kwanini biashara ya kutembeza karanga zilizokaangwa imekufa?

    Hii biashara ilikuwa ikifanywa na vijana wengi miaka ya nyuma. Imekufa kibudu. Shida nini? Ni biashara ipi tena ya zamani imepotea au kufa?
  7. F

    Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

    Kumekucha. Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024. Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi...
  8. F

    Kuanzishwa kwa umoja wa wabunge wa CCM wa chini ya umri wa miaka 45, Ni ishara mbaya kwa waliouringia ujana 2015

    Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee? Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha...
  9. F

    Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

    Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali. Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro...
  10. F

    Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

    Katika mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango. Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni...
  11. F

    Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi. Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
  12. F

    Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui. Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere. Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na...
  13. F

    Serikali ya Sudan kuikimbia mji Mkuu Khartoum na kuhamia Port Sudan

    Kiongozi wa kijeshi wa Sudan Generali El Burhan, amesema serikali kuu na Jeshi zinajiandaa kuhamia Port Sudan mji wa mashariki mwa Sudan. Hatua hii imekuja baada ya wanamgambo wa RSF kushikilia maeneo yote nyeti ya mji Mkuu Khartoum. Kiongozi wa RSF Generali Mohamed Daglo, ameionya hatua ya...
  14. F

    Miss Lolo wa Clouds TV na ujumbe wa "Your boyfriend Loves me"

    Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12. Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your boyfriend Loves me". Maana yake Rafiki yako wa kiume ananipenda. Watangazaji wa Tv huwa...
  15. F

    Mtego kwa Waziri mpya wa Ujenzi kuhusu tenda na mikataba atakayoikuta Wizarani

    Wizara ya Ujenzi ina bajeti kubwa kutokana na miradi yake mingi. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ana kazi kubwa mbele kuhusu mikataba na tenda atakazokuta wizarani. Namaanisha zile zenye harufu ya upendeleo au rushwa. Sasa itabidi achague kulindana au kutenda haki Kama mzalendo bila...
  16. F

    Mitihani mipya kwa Waziri mpya wa Nishati kuhusu tenda na mikataba atayoikuta Wizarani

    Nauona mitihani mkubwa kwa waziri Dotto Biteko kuhusu Nishati. Hii Wizara ina upigaji mwingi kwa watu wasio waadilifu ila kwa mwaadilifu wala hakuna shida wizarani. Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje? Kama kuna dalili ya kutokuwepo...
  17. F

    January Makamba aliwahi kushauri wote waliozaliwa kabla ya 1961 wasigombee Urais

    Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu. Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa nchi ni sharti uende kwa vijana. Alienda mbali kwa kusema wote waliozaliwa mwaka 1961 kurudi nyuma...
  18. F

    Mfanano wa taarifa za habari za ITV na UTV (Azam). Je, kuna kuvujishiana habari ili kuimarisha Ushindani?

    Ukiondoa TBC, taarifa za habari za saa mbili usiku za ITV na UTV zinafanana karibia kila kitu. Habari zinazotangazwa ni zilezile. Kuna habari sio mbaya kufafanana kama vile habari iliyotoka kwa Rais, Mawaziri nk. Sasa shida ni kufanana hadi habari ndogondogo. Katika zama hizi za upatikanaji...
  19. F

    Kupotea na kutoweka kwa Mtoto wa Rais Thabo Mbeki eneo la Mazimbu Morogoro. Nani walihusika?

    Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki. Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro. Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki 1999 Hadi 2008 alikuwa na Mtoto mmoja tu wa pekee aitwaye Kwanda Mbeki. Alimzaa na Mwanafunzi wa...
  20. F

    Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

    Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana? Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Back
Top Bottom