Search results

  1. F

    Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

    Ndiyo, mwenyekiti Kamisheni ya Africa. Zamani ilijulikana kama Katibu Mkuu wa OAU. Iliwahi kushikwa pia na Dr salim Ahmed salim
  2. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Mama yake alifariki siku alipozaliwa. Janet ni step mother
  3. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Sio kazi rahisi, hata hapa Bongo ni katiba imewabana. Embu atokee mbunge apendekeze mihula minne. Rais atakubali na atampa uwaziri kipindi chake chote
  4. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Anaweza akatuchomekea February and then his son anakuwa PM
  5. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Sio rahisi kwani hata mgambo hajawahi kupitia. Labda waziri mkuu au makamu wa Rais
  6. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Sio lazima mkuu wa majeshi apindue nchi. Wanajeshi wadogo wanaweza kujipanga kwa siri na kuipindua nchi na hata mkuu wa majeshi naye akapinduliwa.
  7. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Will be possible also in Rwanda, how about Tanzania?
  8. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Mswahili hana Ujanja huo, alimuandaa Membe, Lowassa na kundi Lake wakamzidi Ujanja kwa kumchagulia Msukuma aliyekuwa kiboko chake.
  9. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Kagame naye amewaingiza vijana wake watatu jeshini.
  10. F

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Yajayo yanafurahisha nchini Uganda. Uteuzi wa Kainerubaga Muhoozi umetagazwa leo usiku wa manane. Aliyekuwa mkuu wa majeshi ameteuliwa kuwa waziri wa nchi. Kuna tetesi nchini Uganda kuwa Rais anamuandaa mwanaye kuwa Rais. Kabla ya hapo General Muhoozi alikuwa mkuu wa kikosi maalum cha ulinzi...
  11. F

    January 1964, maasi ya jeshi na mwaka wa matatizo makubwa Tanganyika na Afrika Mashariki nzima!

    Pia nasikia hali ya Askari ilikuwa mbaya sana, hakuna mishahara wala kombati, wakakinukisha kwa mwalimu
  12. F

    Kagame na Rwanda baada yake, "Kumbe vitini ni Maumivu"

    Kwanini hudhani kama atamaliza?
Back
Top Bottom