Search results

  1. K

    Ada na Michango mashuleni kwa ajili ya mwaka ujao, imeagizwa kama kawaida!

    Jamani, kuna mtu anayeweza kuwe kwenye hizi threads mifanoya michano inayozungumziwa? ila kuweka tarakimu humu watu wankwa na mazungumzo ya juuu tu. Data please!!!
  2. K

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Dokta, Pole sana. Lakini hii kesi utashinda kiulaini, na Precision wameingia kwenye matatizo makubwa. Baadae itabidi uwashitaki kwa usumbufu wote na udhalilishaji ulioupata kutoka kwao. Hao Precision hawaruhusiwi kuandika alama kama hizo kwa lugha mabayo siyo ya taifa letu. Wanaweza kuandika...
  3. K

    Tanzania yakanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwai na gazeti la Serikali ya Rwanda

    Lakini kwa nini watu wetu wanaohusika na maswala kama haya, ambayo ni mazito sana, wamechukua muda mrefu sana kujibu??? Mbona kwenye hii forum hizi habari zimekuwepo kwa muda mrefu??? Mbona majibu yanakuwa mepesimepesi kwa jambo kubwa kama hili??? Wanaohusika na kujibu ndiyo tuseme walikuwa...
  4. K

    Hii la mahakama ya kadhi limekaaje?

    nakuonea huruma sana kwa sababu utasubiri hapo hadi miguu iliwe na mchwa
  5. K

    Mabilioni yaliyofichwa: Uswisi waianika serikali ya Kikwete!

    Ndio matatizo ya kuwa na serikali dhaifu. Wakubwa wamejichotea mapesa wameficha huko. Labda serikali haijafanya lolote kwa sababu hizo zinazozungumziwa ni '''vijisenti''' tu. Hela zenyewe zinawez kuwa kwenye '''off-shores''' zingine. Wanawashangaa watanzania kwa kupigia kelele hivyo...
  6. K

    Ulimboka, Mwangosi wamponza Kikwete UN

    Wale waliomwomba BWANA aliwaambia: NYAMAZENI KIMYA. MIMI NITAWAPIGANIA. Kwa muda mrefu, wanyonge wa nchi hii wamekuwa wakimlilia BWANA awaokoe na mateso, kuonewa, kunyanyaswa na walio madarakani. BWANA amesikia kilio chao. Ole wao wale wote wanaotenda maovu, wakiwa ni viongozi wanaoongoza watu...
  7. K

    Bomba la Mnazi Bay mpaka Dar

    Ungeuliza kwanza gharama za kuleta gas hadi DAR ni kiasi gani, na gharama za kuzalisha umeme Mnazi Bay na kujenga miundo mbinu ya kuuleta huo umeme ni kiasi gani. Baada ya kupata hizo gharama, ndio ungeanza kuhoji ni kwa nini uamuzi umefanywa. Tusiwe na mazoea ya kuanza tu kuponda vitu au...
  8. K

    Tanzania confirms reflagging Iran oil tankers

    hivi, SMZ inayoruhusa kutumia nembo ya SMT (nikiwa na maana vitu kama bendera ya SMT) bila SMT yenyewe kujua hiyo nembo inatumika wapi, kwa nini, na ''effects'' zake ni zipi?? Kumbe ndio sababu passport za Tanzania zinatumiwa na wahalifu wengi tu, kwa vile ''documents'' zilizo sensitive...
  9. K

    Hali ya hatari kwa maeneo ya vyuo vikuu vyote vilivyopo Dodoma

    Huyu bwana hawezi kutofautisha chuo kikuu na chuo cha madrasa. Yuko sayari nyingine, kama kawaida yao. Kama anayo computer yenye internet, ambayo ninaamini anayo ndiyo sababu katapika haya matamshi, angefanya udadisi wake kwa kwenda kwenye internet na ku-''serach'' kuangalia kama kuna chuo kama...
  10. K

    JK: Hatutaki Rais mzee 2015

    na wewe akili zako vipi? ameshaona kwamba watu wa umri wake sio ''digital'' hawawezi, kwa hiyo anatumia mamlaka yake kama reisi kutoa huo ushauri na ni sahihi ausimamie kama raisi, sije akapenyeza mtu wa miaka ya ''1947''
  11. K

    Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

    Ndilo hili hili jeshi la polisi ambapo lori lilipojaribu kuhusisha ajali ili Mwakyembe afie kwenye ajali, walikurupuka na kusema ''rim'' za gari la Mwakyembe zilikuwa za 'aluminium' ndiyo sababu gari ikapata ajali. Hivyo, yule polisi mkuu wa magari akatoa mpya, kwamba 'rims' za 'aluminium'...
  12. K

    Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    Kwakweli hii nchi yetu ni ya ''KUFIKIRIKA''. Ukiwaona hao wamama wa wizara hii, naibu waziri na Katibu Mkuu wake, walivyokuwa wanazungumza kwa ''jeuri'', ''kiburi'' na ''dharau'', juu ya hwaw wataalamu wanaoshughulikia maisha yetu, inasiskitisha. Wanaonyesha dharau kubwa kwa hawa madaktari...
  13. K

    Hali ya nchi yawatisha maaskofu

    Tatizo la watu wenye majibu ya chapchap kama hilo ni kwamba hamtafakari mambo na kutumia elimu mliy nayo kuangalia mambo. Yaani unataka kuwadanganya watu kwamba Wakristo wana MOU na serikali? Kama unayo, iweke hapa jukwaani, kwa vile watu wanajua kusoma
  14. K

    Dr. Mwakyembe yuko fit sasa.....?

    ''Niite nami nitakuitikia. Nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua''. Amemwita Bwana. Watu wenye upendo wa kindugu wamemwita Bwana. BWANA atatenda
  15. K

    Kenya to build an International Airport at Taveta near KIA

    mtu mmoja tajiri alijipanga kwenda safari. Akaita watumishi wake waili. Akawapa kila mmoja talanta tano (fedha). Baada ya muda mrefu alirudi toka safarini. Akawaita wale watumishi, akawauliza, kulikoni. Yule mmoja akamwambia bwana mkubwa wake; 'bwana, nimefanya biashara na ule mtaji ulionipa...
Back
Top Bottom