Search results

  1. Conservator

    The samianism of mineral extraction in wildlife protected areas: je tunalionaje?

    Helo WanaJF, Jana tarehe 06/04/2021 alipokuwa akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu na Wakuu wa Taasisi za Serikali, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitoa maelekezo ya kuangaliwa upya uwezekano wa kuchimba madini yaliyopo kwenye maeneonya hifadhi hasa...
  2. Conservator

    Kuhusu msimamo: Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa aina gani?

    WanaJF Bila shaka tumefuatilia hotuba ya leo tarehe 06/04/2021 wakati Mhe. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu na Wakuu wa Taasisi za Serikali. Je kulingana na maudhui ya hotuba (aliyoyasema) na muonekano (body language)...
  3. Conservator

    Kwanini BMW X1 sio popular kama X3 na X5?

    Wakuu Habari. Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC. Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5) ambayo wameyalist kama yanayonunuliwa sana. Lakini mimi nimevutiwa na X1 ambayo pia hata bei zake sio...
  4. Conservator

    Ufadhili wa Masomo (Scholarships): Undefeated form of Neo-Colonialism

    Ndugu zangu, Naona wengi wetu tunapinga vikali masuala ya Ukoloni mambo leo. Na tumekuwa tunasoma kuwa mataifa ya Magharibi, Marekani, Russia na Uchina yamekuwa yakitumia Scholarships kama njia ya 'kushape' viongozi wanaowataka ili kurahisisha mazingira ya kupenyeza ajenda zao na kuendelea...
  5. Conservator

    USHAURI KWA WASAFI: Hii Idea Mnaionaje?

    Heshima Zanu JF Great Thinkers. I see WCB wana work hard sana kugrow bigger and bigger. Mimi nikiwa kama mdau na supporter wao nimewaza nishauri hili wazo. Ni kuhusu kuendeleza vipaji vya wasanii wachanga hasa walioko maeneo ya mbali na mijini au kwenye miji midogo midogo. Eti WCB mnaonaje...
  6. Conservator

    Je, kwanini haiwezekani salio la kawaida kuwa mobile money?

    Wakuu Salam, Leo rafiki yangu alikosea wakati ananua salio kutoka Tigo Pesa badala ya kuandika 10,000/= akaandika 100,000/= Bila shaka jambo hili linatokea wengi. Hivi kwanini inawezekana kutoa hela kwa mfano kutoka Tigo Pesa kwenda kwenye salio la Kawaida ila Haiwezekani Kubadili Salio la...
  7. Conservator

    Utunzaji na Uhifadhi Endelevu wa Mazingira na Maliasili Tanzania

    WanaJF. Uchumi wa nchi yetu na maisha ya Watanzania yanategemea kwa kiasi kikubwa maliasili tulizonazo kama vile ardhi, maji, misitu na hewa safi. Uwepo wa maliasili hizi kwa mahitaji yetu ya sasa na ya vizazi vijavyo hutegemea namna tunavyozingatia uhifadhi wake na matumizi endelevu...
Back
Top Bottom