Search results

  1. rommy shabby

    Nauza Korosho safi kubwa

    Habari wakuu mambo niaje Ninauza korosho zilizobanguliwa kilo 16000tsh na zipo kilo 25 tu mzigo upo mbagala kwa mawasiliano zaidi piga 0692550111.
  2. rommy shabby

    Naomba msaada kwenye vitu hivi viwili

    1. Nina simu Samsung s6 plus hua inatabia ya kujizima tu, unaweza weka mfukoni ukitoa unakuta imeshazima sijajua kwanini inafanya hivyo. 2.Nina laptop HP button 3 hazifanyi kazi je itakuwa vumbi au key zimekufa. Naitaji msaada wenu
  3. rommy shabby

    Soko la ngozi za ng'ombe

    Habari zenu wakuu, naomba kujua kwa Dar wapi nitapata soko zuri la kuuza ngozi ya ng'ombe na mifupa ya ng'ombe. Naomba mwenye kujua anisaidie tafadhali. shukrani sana.
  4. rommy shabby

    Leopard Shotokan Karate

    Kwa wale wadau wa sanaa ya mapigano karibuni sn leopard ujifunze jinsi ya kujihami dhidi ya adui wa aina mbalimbali. Ukiwa leopard utajifunza kuchezea fimbo & cheni, kisu & panga, technic zote za roba. Pia, kwa wale wenye mili mikubwa karibu mutoe mafuta na kujifunza pia maana sanaa hii...
  5. rommy shabby

    Leopard shotokan karate

    Kwa wale wapenzi wa martial arts, leopard inawatangazia nafasi za kujiunga ili upate mafunzo ya kujiamini na silaha na mazingira mbalimbali, leopard ina walimu wazuri na imeota wapiganaji wazuri tu kwenye sanaa hii ya mapigano chini ya SHIHAN PHILIP CHIKOKO 4DAN, muda wa mazoezi ni saa moja hadi...
  6. rommy shabby

    Natafuta Kiwanda cha kusaga unga wa dengu

    Habari zenu wakuu humu ndani samahani naomba kwa yeyote mwenye kujua kiwanda au viwanda vinavyosaga unga wa dengu kwa dar es Salam anisaidie kunifahamisha nilikuwa nashida napo. natanguliza shukran zangu kwenu asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. rommy shabby

    S650 Mini Bluetooth earphone

    Deleted
  8. rommy shabby

    Habari zenu wakuu

    Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu wa kupokea mizigo kutoka Ali express niliagiza kitu kutoka China leo nimetrack nakuona ujumbe huo je mzigo wangu ndo umeshafika au laa! !na kama tayari nikienda posta naweza pewa mzigo wangu!!msaada tafadhali.
  9. rommy shabby

    Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

    Announcement to all All South Africans. President Cytill Ramaphosa, Minister Bheki Cele, Minister of Home Afairs Motsoaledi you have failed the country nizoyikhomba ibhenge yomile, Sizozibambela umthetho ngezandla akufe ofayo this is our Country our Ancestors died for that you are giving to...
  10. rommy shabby

    Msaada wa kuagiza pikipiki eBay

    Hbr za humu ndani wanajamvi poleni kwa majukumu mbalimbali mm ni mpenzi sn wa pikipiki kubwa. Kuna pikipiki nimeiona eBay nimeipenda ningependa kujua gharama za kusafirisha hadi inanifikia ni kiasi gani kule inauzwa $1200, au kama kuna mdau anajua machimbo ya pikipiki msumbiji msaada wake...
  11. rommy shabby

    Ni uraratibu gani unafanya kwa mtu ambaye anataka kwenda nchi ambayo nchi hiyo hakuna ubalozi wa nchi husika?

    Poleni na majukumu ya kila siku ninaomba kujuzwa juu ya uraratibu gani unafanya kwa mtu ambaye anataka kwenda nchi ambayo nchi hiyo hakuna ubalozi wa nchi husika, mfano unataka kwenda vietnam lakini Tanzania hakuna ubalozi wa vietnam utafanyaje kupata visa hadi kufika huko.nb vietnam nimeitolea...
  12. rommy shabby

    Jipatie huduma za kilimo kwa gharama nafuu

    DRIP IRRIGATION SYSTEM &GREENHOUSE (KWA GHARAMA NDOGO ) Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone(matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo madogo kwa kuzingatia mmea ulipo kwaajili ya kuupa maji mmea muda wote. Umwagiliaji huu unaweza...
  13. rommy shabby

    KILIMO BORA

    DRIP IRRIGATION SYSTEM &GREENHOUSE (KWA GHARAMA NDOGO ) Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone(matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo madogo kwa kuzingatia mmea ulipo kwaajili ya kuupa maji mmea muda wote. Umwagiliaji huu unaweza...
  14. rommy shabby

    Msaada: Wapi nitapata mbegu ya Matango inayoitwa 'Yetu F1'

    Naomba mwenye kujua wapi wanauza mbegu za matango zinaitwa yetu f1 anisaidie tafadhali, hizo mbegu ni hybrid. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. rommy shabby

    Kijiji gani Rufiji unaweza fanya kilimo cha umwagiliaji

    Habari zenu Wakuu mimi ni kijana mwenye ndoto na imani kubwa sana kwenye kilimo nilikuwa naomba muongozo kwa yeyote anayeijua Rufiji anifahamishe maeneo mazuri na Ardhi nzuri yenye rutuba Ni hayo tu naomba kuwasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. rommy shabby

    Pump ya kumwagilia

    Habari wapenda humu ndani nina uza pump ya kumwagilia inch tatu aina ya boss kwa laki tatu na thelathini mpira wake laki moja na arobaini mpira ni mitaa mia vitu vyote bado vipya kabisa havitumika nilikuwa na plan ya kufanya kilimo eneo flani hivi sasa hilo eneo pump hii ya inch tatu uwezo wake...
  17. rommy shabby

    Pump ya kumwagilia

    Habari wapenda humu ndani nina uza pump ya kumwagilia inch tatu aina ya boss kwa laki tatu na thelathini mpira wake laki moja na arobaini mpira ni mitaa mia vitu vyote bado vipya kabisa havitumika nilikuwa na plan ya kufanya kilimo eneo flani hivi sasa hilo eneo pump hii ya inch tatu uwezo wake...
Back
Top Bottom