Search results

  1. muya ataho

    Bodi ya mikopo kama hamna pesa semeni

    Naona bodi ya mikopo na serikali wanazingua watu mtu ana uhitaji hana wazaz na hana uwezo wa kusoma bila mkopo alafu wanamnyima. Ruhusuni mashirika binafsi yatoe mkopo vijana tunateseka vyuoni
  2. muya ataho

    Nifanyaje niwe Maarufu kama Dkt. Shika?

    Jaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
  3. muya ataho

    Tumaini Makumira Dar es Salaam College wameshaapprove second batch?

    Wakuu samahani nikichaguliwa Tumaini Makumira Dar es Salaam College second batch ila nilikuwa na multiple selection nikaconfirm Tumaini Hadi leo hawajatoa kama tumekuwa approved na TCU Msaada tafadhali, nifanyeje?
Back
Top Bottom