Search results

  1. General B.

    Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

    Ndugu yetu huwa anajitahidi kuwa active, lakini isije ikawa ni ndoto maana area covered na hiyo observation ni kubwa mno.
  2. General B.

    Nini maana ya profession

    Na kipindi nakua na hata baadhi ya walimu wangu wa elimu ya juu walikuwa wanasema professions zipo tatu tu duniani 1. Doctors 2. Lawyers 3. Engineers Hiyo imekaaje apo?
  3. General B.

    Nini maana ya profession

    Na kuna professions ngapi duniani?
  4. General B.

    Nini maana ya profession

    Profession ni kitu gani? Na nini anayeitwa professional?
  5. General B.

    Msaada wenu tafadhali.

    "Huyo ni chaguo lako" kama kuna mjumbe anayo nisaidie link niweze kuipakua.
  6. General B.

    For those who know

    Collapsing of dick when it reaches the door
  7. General B.

    Msaada Kuhusu RED Eye

    wana jf kwa anayejua vizuri kuhusu ugonjwa ulozuka i.e RED EYE, naomba anielekeze kiujumla sababu, njia za kuambukiza, jinsi ya kuepuka pamoja na tiba yake kitaalamu maana kila mtu anaongea kadri hisia zake zinavyo mtuma. Nawasilisha!!!!
  8. General B.

    Ni kuhusu hii combination ya CBG..

    ukipiga fresh vyuo kibao,,na course za kumwaga.mfano unaweza ukasoma MD Bugando,nursing,vet,pharmacy,agriculture,aquaculture,horticulture na course nyingine nyingi.
  9. General B.

    Newton's Laws Of LOVE.....

    tena umefunika kwenye universal law!
  10. General B.

    Newton's Laws Of LOVE.....

    Ebwana dah! We ni mkali!
  11. General B.

    A question.

    Wana jf tafadhali nisaidieni maana halisi ya neno "mwanafalsafa"
  12. General B.

    Bendera south sudan copy bendera ya kenya

    kwa hiyo ina maana kufanana kwa bendela kuna maanisha uhusiano wa karibu zaidi?
  13. General B.

    Natafuta members!

    Hi wana jf, mimi ni mgeni katika ukanda huu hivyo natafuta members ambao tutabadirishana mawazo katika sekta zote!
  14. General B.

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Kama ndivyo basi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi amina!
Back
Top Bottom