Search results

  1. B

    Tatizo la kuvimba mwili na matatizo ya ngozi

    Nawasalimu kwa upendo wa dhati. Nimekuwa nikipata changamoto kwenye mwili wangu hasa KUVIMBA kwa mwili NGOZI kuwashwa kupata viupele na kuacha alama pale ninapojikuna. Tatizo hili lilianza taratibu na limekuwa likikua siku hadi siku, ilianza nikila matunda hasa matikiti mwili unaniwasha Sana...
  2. B

    Hivi kuna dawa yoyote au namna ambavyo wakati wa tendo la ndoa mwanaume anaweza kujizuia kumaliza?

    Habari wanajamvi? Katika harakati zangu za kujitafutia mkate wangu wa kila siku leo nimefika mahala nikakutana na vijana watatu na mzee mmoja wa makamo. Watu hao walionekana wafanyakazi wa kampuni fulani, katika mazungumzo kijana mmoja alimuuliza yule mzee swali ambalo lilikosa majibu. Swali...
  3. B

    Upotevu wa pikipiki aina Sanlg, MC 736 CFD

    Tumsifu Yesu Kristu wapendwa wanajamvi, Taifa la Mungu Ninatangaza kuibiwa Pikipiki aina ya SANLG yenye namba za usajili MC 736 CFD rangi ni nyekundu, pikipiki imeibiwa katika ofisi za MSHIKAMANO SACCOS LTD zilizopo Wilayani Chato Mkoani Geita Kwa yeyote atakeyeiona au kusikia mahali ilipo...
  4. B

    Tatizo la kuvimba matiti

    Ndugu wanajamvi habari za leo? Kuna dada hapa amejifungua lakini mtoto lakini kwa bahati mbaya mtoto amefariki. Sasa amepata shida matiti yamevimba na yanauma sana. Hivi anaweza kutumia dawa gani ili imsaidie maana anapata shida sana Ahsante
  5. B

    Naomba msaada wa namna ya kufungua tender kwenye mfumo wa taneps,

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Wapendwa wanabodi naomba msaada wa namna ya kufungua tender kwenye mfumo wa taneps, baada ya kuwa nimelipia tender nimepata changamoto kwenye bid submision kila nikijaribu document zinagoma kufunguka. Tafadhari mwenye ujuzi na huu mfumo...
  6. B

    Je, kuna gharama gani nyingine pale bandarini kwa mtu aliyeagiza gari nje?

    Wanajukwaa habari za mchana. Napenda kujua ukiwa umeagiza Gari nje ni gharama gani nyingine unatakiwa kulipia pale bandarini baada ya Gari kufika bandarini na kulipa gharama za TRA. Nilikuwa kwenye mchakato wa kuagiza Gari lakini gharama za pale bandarini zijazielewa? Ahsante kwa ushirikiano
  7. B

    Tatizo la kushindwa kurudia tendo la ndoa

    Habari wanajamvi wataalamu, Madokta, Mabaharia na great thinkers kwa ujumla. Bila kupoteza wakati naomba nijikite kwenye mada Moja kwa Moja. Nina tatizo ambalo nashindwa kulielewa na kilipatia ufumbuzi? siku za nyuma nilikuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kurudi kiwepesi zaidi hata mara...
  8. B

    Napenda kupata maelezo ya kutosha ya kitaalamu na ya uzoefu kuhusu utengenezaji na usindikaji wa unga wa lishe

    Wanajamvi habari za leo? Poleni sana na majukumu ya kujitafutia kipato Lakini poleni sana kwa ndugu walipoteza wapendwa wao kwa ajali ya moto huko Morogoro. Leo napenda kupata maelezo ya kutosha ya kitaalamu na ya uzoefu kuhusu utengenezaji na usindikaji wa UNGA LISHE kuanzia namna ya...
  9. B

    Nini tiba sahihi ya presha?

    Kwa muda sasa nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakipatwa na ugonjwa wa Presha na kisukari. Lakini mara wanapogundulika kuwa na ugonjwa upewa dawa za hospital na wengine huanzishiwa kliniki lakini kupona kabisa ni hamna. Nina rafiki yangu kijana mwenye umri wa miaka 39 kabla ya kupima na...
Back
Top Bottom