Search results

  1. G

    Naomben ushauri

    kwa ushauri wangu, ayo matokeo yake kwa sio mabaya(ni mazuri), kwa iyo apende matokeo yake na baada ya apo ningeshauri kua angetafta nafasi katika ngazi ya DIPLOMA, naomba ajaribu cource za HUMAN RESOURCE, MASS COMMUNICATION, FINANCE & TAX, NA kwa kua ni diploma pia angejaribu kuomba ktk COURCE...
  2. G

    Naomba ushauri

    sasa naomba kwanza uulizie utaratibu katika chuo chako kama wana utaratibu wa kutoa HIGHER DIPLOMA ka wanafunzi waliofika mwaka wa 2, kama wanatoa chukua then hairisha kwa miaka kadhaa ili uende kusoma uko USA, ukirudi chance yako ya kusoma utaikuta na utamalizia ule mwaka mmoja uliouhairisha...
  3. G

    Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

    kumbuka kua watu wengi hatuombi kazi ila tunaomba mshahara mzuri......!!!!! so kama unajijua upo kwa ajili ya mshahara mzuri & employee development KUA MAKINI SAAAANA ila kama unaitaji kazi kwa ajili yako na jamii kwa ujumla you have to look 4 the company that is competitive to its competitors...
  4. G

    Msaada/Ushauri wana JF

    sorry ma friend, naomba ufahamu kua ktk ulimwengu huu kuna interview tunazozifahamu(zilizozoeleka) na pia kuna addition interview ambazo ni internally organized so usiogope kupata kazi bila interview, make inawezekana iyo ni moja wapo ya interview yao ya kukupima wewe imani yako.......!!!!, kwa...
  5. G

    Nimeshindwa kujisajili tcu

    MWANZO KABISA UNAPOJISAJILI KWENYE SYSTEM YAO, UNAINGIZA MWAKA WA KUMALIZA SHULE (4M 4), UKISHA SABMIT TU, AUTOMATICALLY SYSTEM ITAKUTUMIA MESSAGE YA USER NAME YAKO, WAKWTI HUO UNAKUMBUKA PASSWORD ZAKO, NA BAADA YA APO UNAWEZA KUENDELEA NA USAJILI, KWA KUFUATA TARATIBU ZAO.FORM UNAZOJAZA ZIPO...
  6. G

    Five killed in Barrick Tanzanian mine attack

    Sorry wana jf, ni nini kibaya kinachoendelea uko nyamongo(mgodini), wilayani tarime? Tufanyeje? Au unaonaje?
  7. G

    Mshahara huu kwenye kampuni ni haki?

    Siku zote ili upate mafanikio ni lazima uanzie chini, hivyo kama huo mshahara ni mdogo komaa na kazi na ipo siku mshahara utapanda tu. Make kumbuka kuna bodi husika kuhusiana na malipo ya m2 ni sawa na kazi anayofanya na ni sawa na elimu yake ,usikate tamaa
  8. G

    Msaaaaadaaa tafadhali

    kwa ninavyofahamu maprovider wa internet wapo wengi, mojawapo ni TTCL PROVIDER WALIOPO POSTA(DAR), NA MLIMANI
  9. G

    Nafasi za Kazi Hazina

    tutaendelea kujulishana kama wewe ulivyotujulisha
  10. G

    wana JF niambieni kuhusu JKT

    we habari izo umezipata wapi? apo usipopaamini
  11. G

    technology

    its true that by the use of technolog(information technology and information system ) tunawe kufanikisha mambo mengi kweli na kuweza kubalance mda pamoja na fedha kwa ajili ya matumizi mengine kwa jamii zetu na tanzania kwa ujumla, kwa iyo ni vyema tukawekeza sana ktk technologia ili tuweze...
  12. G

    nafasi za kazi bandarini

    Nashukuru kwa kupata taarifa za muhimu katika jamii na Taifa zima kwa ujumla, nategemea mengi ili kuweza kuendeleza gurudumu hili. ahsante
Back
Top Bottom