Search results

  1. lawyerrr

    NINI FAIDA YA NYUZI MAALIMU NA NANI HUZIANDAA?

    Uzi maalumu wa wazinzi.haha hahaaaaaaaa.upo humu huu
  2. lawyerrr

    NINI FAIDA YA NYUZI MAALIMU NA NANI HUZIANDAA?

    Kichwa cha habari chahusika,nangoja tu wahusika kuhusika.kila muhusika nimemuhusisha. Humu kuna nyuzi kama Uzi maalumu wa picha za watoto wakali,Uzi maalum wa kupena like na comments.nk Nataka kujua tu nilichouliza hapo kichwani
  3. lawyerrr

    Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Tajiri niwewe unaetukashifu watumishi.babaako sijamkashfu ila nimemsifia kwa malezi bora.soma vizuri
  4. lawyerrr

    Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Hakuna nilipolalamikia mshahara.nimekalamikia hako kamladi kangu mbali na mshahara.Hutanielewa mpaka pale babaako atakapoacha kupanga bajeti ya chakula kwaajili yako.
  5. lawyerrr

    Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Sina simbanking ndo shida hiyo,ningekua nimeangalia
  6. lawyerrr

    Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Uhakika mkuu?maana nimebaki na hela ya nauli tu hapa
  7. lawyerrr

    Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Mkuu saa nne sahizi,benki zote zimefunguliwa.pia wapo wanaopata taarifa kupitia simu zao
  8. lawyerrr

    Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Habari zenu jamani.naomba watumishi mnijuze kama tayari shimo limetema. Nilijichanga changa nikanunua kagari ka biashara sasa kamepata hitilafu kamekomba hela zangu zote.nategemea tu mshahara nikafufua kagali kangu kaendelee kupiga mzigo namimi nilipe madeni ya watu. Ama kweli ng'ombe wa...
  9. lawyerrr

    Dada una sura nzurii.....

    Oh nikweli dada unasura nzuri
  10. lawyerrr

    Nguvu ya papuchi: Nimemtikisa kibiriti amfukuze mdogo wake kakubali

    Huyo bwege tu.mi ukininyima papuchi wala sikuulizi ,utaileta mwenyewee.
  11. lawyerrr

    Niuzie gari ya abiria

    Unagari yoyote ya abiria weka hapa,huna acha maswali
  12. lawyerrr

    Niuzie gari ya abiria

    Weka gari na bei yako nitakupm
  13. lawyerrr

    Ushauri: Wazazi hawataki mwanamke abadili dini, wananiita 'kafiri'

    Hana kazi kivipi wakati umesema mmekuza biashara.ushiriki wake kwenye kazi zako ni kazi kwake pia.baba anayohaki ya kumuomba mwanae pesa kwakua anafanya kazi kwako
  14. lawyerrr

    Baada ya kukosa gari la milioni 5 nimeamua kuwekeza

    Mbona Leo husemi toa uchafu huu?
  15. lawyerrr

    Niuzie gari ya abiria

    Asalam alaykum ndugu zangu, Narudi tena baada ya kutopata mafanikio katika uzi wa kwanza. Bila kuathiri maelezo katika kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji kununua gari kwaajili ya abiria.Gari iwe nzima na iwe haina deni lolote, pia iwe haijarudiwa rangi wala kuwahi kugonga sehemu.Kwa...
  16. lawyerrr

    Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    NIPE NAMIMI MAANA MKE WANGU KASOMA UZI WAKO KASEMA HAKUPENDI NA AMEKUCHUKIA.MKOMOE
Back
Top Bottom