Search results

  1. D

    Sheria

    Nashindwa bkuilewa tume ambayo iliundwa na waziri kuchunguza kifo cha aliyekuwa,mwandishi wa habari wa chanel ten,iliunndwa ili baada ya uchunguzi itoe matokeo ya uchunguzi wao,lakini badala yake imechunguza wanashindwa kutoa matokeo ya uchunguzi eti,shauri lipo mahakamani,sasa kulikuwa na...
  2. D

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Swala la kudai nchi ni kutaka muungano uvunjike,ukisema waliochoma makanisa wamepandikizwa utakuwa niuongo maana kama kuna kundi lililoweza kuchoma vibanda na vitu vya wafanya biashara wakidai waondoke waludi bara,watashindwaje kuchoma makanisa maana lengo ni kudai nchi,kwamadai kuwa zanzibar ni...
  3. D

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Sawa kabisa unachokisema,maana wasidhaninkuwa muungano ukivunjika kila kitu kitakuwa sawa,hakuna kitu kama hicho,maana hata Mwl.Nyerere marehemu alionge sana kuhusian na hili la kuvunja muungano na kujibagua,alisema muungano ukishavunjika wakifanikiwa ,litaibuka lingine ambalo litakuwa baya...
  4. D

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    hata mimi nimefuai kombe kubaki England ila ................................
Back
Top Bottom