Search results

  1. Kabalimu

    Nahitaji kupakuwa video youtube

    Tube player Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kabalimu

    Mafuriko Bukoba: Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha kukatika kwa mawasliano ya barabara baada ya daraja la Kanoni kufunikwa na maji

    kanoni nimto waliokumbwa na mafuliko bukoba nisawa na wanaokumbwa namafuliko mto msimbazi na mzinga hapa dar
  3. Kabalimu

    Swali la ufahamu: Kwasasa Serikalini hakuna wenye vyeti feki wala taarifa za uongo kuhusu ajira zao?

    TPA wako zaidi ya 400 vyeti feki hajaondolewa hata mmoja
  4. Kabalimu

    Hivi watumishi waliofukuzwa kazi hawawezi kusamehewa??

    Nadhani hawana mtetezi mbona T P A wako kazini hamna hata mmoja alieondolewa kazini
  5. Kabalimu

    Serikali kuwaondoa watumishi wa umma darasa la saba

    Kuajiriwa na elimu ya darasa la7 nikosa?
  6. Kabalimu

    Natafuta baba watoto

    Njoo mpenzi njoo Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  7. Kabalimu

    Mwanza: Polisi Wameua majambazi sita

    Sio kwamba natetea ujambazi nimeuliza polisi hawana mbinu zakuweza kujeruhi bila kuua ili majeruhi asaidie kutambua mtandao mzima ? Ikiwa polisi wanaua baada ya siku moja majambazi nao wanaua raia
  8. Kabalimu

    Mwanza: Polisi Wameua majambazi sita

    Hivisasa kuna mauaji yanayo endelea huko kibiti pwani lakini pia polisi nao wameendelea kuua watu ambao wanadai ni miongoni mwawauaji waraia huko pwani swali langu hivi polisi hawafundishwi mbinu ya kuweza kukamata muhalifu akiwa hai ili wasaidie kupata wenzao? Binafsi taarifa inayotolewa na...
  9. Kabalimu

    Kairuki: Uhakiki vyeti feki kuendelea kwa wauguzi

    Wataenda kukagua vya wauguzi TPA walikwisha kaguliwa mbona hajawaondoa?
  10. Kabalimu

    Majina ya Mikoa, Wilaya, sehemu ndani ya Tanzania pia na maana yake

    Mkoa wa kagera ulikua ukifahamika kama mkoa wa ziwa magharibi ulibadirisha baada ya vita ya kagera 1980
  11. Kabalimu

    Serikali ni bora mfukuze watumishi wote kisha muanze upya kuajiri wale mnao wataka

    Inaelekea serikali inataka kupunguza wafanyakazi bila malipo ndomaana figisufigisu haziishi
  12. Kabalimu

    Uhakiki wa vyeti TPA ulikua na lengo gani?

    TPA nikatí ya tahasisi za mwanzo kuendesha zoezi la uhakíki wa vyeti mpaka mwezi wa 9/2016 wafanyakazi zaidi ya 500 walikwisha bainika kua navyeti feki lakini mpaka sasa wapo kazini
  13. Kabalimu

    Tuache unafiki tuseme ukweli tu, mke mwenza akifariki utalia?

    Yawezekena alikua mke mwenza shoga jamaa walikua wanamfanya bwege
Back
Top Bottom