Unachosema Chizi Maarifa ni kweli tupu. Mimi nimeliandikia mara kadhaa hapa JF. Sio suala la nani anapigana akiwa upande gani, BUNGE ni mfano hai wa UFISADI si kwa mujibu wa kamusi ya CCM, bali katika maana halisi ya dhana ya UFISADI (yaani KLEPTOCRACY) - wizi wa mali ya umma uliohalalishwa na...
Pia msisahau na Mloganzila, Mkapa Hospital, Chuo Kikuu cha Dodoma (kinachukua zaidi ya vijana elfu 40), daraja la Kigamboni, Mwendokasi, barabara zilizompatia umaarufu aliyekuwa waziri wake wa ujenzi, Terminal III (JKNIA), nk ,nk.
Awamu ya nne alifanya alitimiza wajibu wake lakini awamu ya...
Mimi binafsi nafarijika sana kuona haya yote yametokea - Karma ni hapa hapa duniani. Huyu ndugu tabasamu ndiye aliyetuletea Hayati Mwendazake, na hivyo kila aina ya maumivu ambayo taifa hili limeyapata katika kipindi cha awamu ya 5. Ndugu tabasamu alimfahamu vizuri sana mwendazake lakini...
Tanzania, bado tunasumbuliwa na fikira za kijamaa (ujamaa wa Nyerere) ambazo haziko mbali sana na ujima! Inahitajika mkakati kabambe wa kufutilia mbali fikira za kijima ambapo ni pamoja na kusikia watu wanajivunia kuitwa 'wanyonge', kujisifu kuwa ni 'matajiri' huku unafungia wenye mitaji na...
CWR2016 umetoa hoja nzuri na inayohitaji tafakuri. Mojawapo ya chanzo cha ufukara unaozungumzia na ambao ni kweli kabisa ni UFISADI (sio kwa maana ya 'kamusi' ya CCM) bali katika maana halisi ya dhana ya kleptocracy ('wizi' wa mali ya umma uliohalalishwa na walioshikilia madaraka). Kwa mfano ni...
Chief Kabikula, sidhani kama tatizo ni kufutwa kwa nyuzi. Ninaweza kujenga hoja kwamba wale waliokuwa wakitoa nyunzi zenye mashiko wali-withdraw!
Sijasikiliza mahojiano hayo ya Bw Melo, lakini hata bila kusikiliza huyu ndugu ni mmojawapo ya mashujaa wa zama hizi! Hongera sana Bw Melo.
Kwa...
Baadhi ya wadau hapa wamekuwa wakisema Karma, Karma, Karma, tena hapa hapa duniani! Pamoja na mwendazake Dktt Magufuli kufanya kila aliloweza kuirejesha Tz kwenye enzi za old stone age, mimi siku zote nilikuwa nikielekeza lawama kwa Vasco na kuomba Muumba ampatie Karma yake akiwa hapa hapa...
Huyu ni wale wateule wa Mwendazake Dikt Magufuli kupitia maigizo ya uchafuzi mkuu. Lakini kwa bahati mbaya ndio wako bungeni (90%) kufanya maamuzi kwa niaba ya wananchi. Muumba ampumzishe anakostahiki!
The man is not sick. Ana akili timamu kabisa. Kitu ambacho wengi wetu tunashindwa kuelewa ni kwamba Ndugai hatetei hao COVID-19, bali anatetea LIGASI.
COVID-19 ni mojawapo ya LIGASI kuu za Chuma, Shujaa wa Afrika ambazo watetezi wamejiapiza watazitetea mpaka silaha ya mwisho iliyoko mikononi...
Sijui kigogo2014 ana kiwango gani cha elimu au uelewa kiasi gani, au hata exposure ya ulimwengu wa utandawazi!!!
Kama kweli Lissu alitumia bilioni 82 kufanya alichofanya, basi hicho kiasi ni kidogo mno!!
Katika kipindi cha miezi mitatu (kutafuta wadhamini na kufanya kampeni) TAL alitumia fursa...
Lakini mawaziri na manaibu wote wanasubiri Magufuli afikiri na kuwaagiza wafanye nini. Hata akiteuliwa Kibajaji kuwa waziri wa Elimu ni sawa kabisa, wako pale tu symboliccaly. Maamuzi yote yanafanywa na Mtukufu Magufuli.
Kiongozi ama mtawala hatarajiwi kutoa pesa na kuwapa watawaliwa (wanyonge) bali wajibu wake (kumbuka anaomba mwenyewe, hakuna anayemlazimisha kuwa katika nafasi hiyo) ni kutengeneza mazingira (ya kisiasa na kiuchumi) ya kuwawezesha 'wanyonge' waboreshe maisha yao wenyewe. Kwa mfano, akitengeneza...
Au ni blackmail ili ununue madege yake, ma-Boeing na ma-Airbus, kwa wingi na tena kwa cash kutokana na ushamba wako wa biashara ya usafiri wa anga! Mabeberu si watu kama walivyo wajumbe!!!!
Kambarage Nyerere angekuwa na akili za watu kama nyie, leo hii Tz ingekuwa bado inatawaliwa na mkoloni wa kizungu! Wewe unafikiri huu uhuru wa bendera ambao mna-enjoy ulipatikana kwa kujipendekeza kwa wakoloni?
Afterall, kazi kubwa ya TISS ni nini kama sio usalama wa CCM? Recruiting ground yao ni UVCCM. Ndio maana CCM haiwezi kutoka madarakani kwa njia ya kura - it will never happen, never. Uchafuzi mmoja ukiisha kama huu ulawiti ulivyoisha, kinaundwa kitengo maalum cha kuanza maandalizi ya ulawiti...
Jamaa_Mbishi, pengine mimi ni mbumbumbu! Nimekuwa nikisiia kauli kama hii ya kwako kutoka kwa waBongolanders wengine kuwa huyu ni rais makini na anataka kutuletea maendeleo kuliko watangulizi wake. Mimi sijaona kitu cho chote tofauti - anatimiza wajibu alioomba kutimiza na kufanya kwa kisiasi...
Umewasahau DARMPYATV. Walifanya kazi nzuri sana japokuwa inaelekea siku za mwishoni mwishoni ninafikiri walipata vitisho kutoka kwa watawala. Na wewe ulijitahidi japokuwa mara kadhaa ulianzisha uzi na ukawa unashindwa kutoa updates. Lakini ulijitahidi na inaelekea ulikuwa na nia njema. Hongera sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.