Search results

  1. K

    Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Kuna makabila wanawake ni shida,mfano mwanamke wa kizaramo au mruguru japo si wote,lakini asilimia 98 hawana adabu na umalaya. A Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Uone mwanamke wa kizaramo,kama hujui kupiga lzm akufundishe kupiga. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Tunaomba kuwe na sheria kali zidi ya wanaovuta sigara wakiwa wanatembea tena katikati ya mji

    Muheshimiwa waziri kuna jambo linakela sana,mtu anavuta sigara uku anatembea,anawaambukiza wengine magonjwa pasipo sababu,tunaomba kuwe na sheria kali zidi ya wanaovuta sigara wakiwa wanatembea tena katikati ya mji.
  4. K

    Natafuta marafiki walio musoma

    Unawataka hao weu,hawana maana kabisa,labda waliokulia na kusoma mjini.
  5. K

    Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

    Wewe ujuhi kuteneza kabeji,ukipata mtu anaejua kuikaanga unakula ugali kilo zima.
  6. K

    Trafiki wa Mwenge wabadilishwe, kinachoendelea mbele ya mataa ni aibu

    Mbona ya kawaida hayo,unachoshangaa nini? Au mgeni wa traffic,sehemu zote ndio hivyo hivyo.
  7. K

    Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa

    Duh! Ukiona uongozi wowote wa yupo mchaga,basi wewe ukubali kuburuzwa ili ubaki kwenye nafasi.maana wachaga mpaka makanisani wana mitandao wanaijenga kwa maslai ya wachaga,Dr shoo kaingiza siasa na ukabila kanisani,sasa kanisa litasambaratika.
  8. K

    Bundi wa Ugoni Atua Kwa Askofu Malasusa

    Na alie msafi ampige.hakuna alimpiga na wote waliondoka.
  9. K

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Pale jirani na temeke hosp wapo,wamepanga vyumba wanafanya biashara ya ngono.
  10. K

    Nilimgonga bodaboda kwa bahati mbaya, nikampeleka hospitali akapona ila kero yeye na baba yake wananiomba hela

    Hongera kwa huruma,kwani siku zote tunafundishwa kuwa huruma zaidi kuliko kufuata sheria,ungefuata sheria husingempeleka hospitari,ubarikiwe,endelea kuishi uruma yako ni jambo jema zaidi.
  11. K

    Elections 2015 Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atakayempigia kura yake Magufuli na kumuacha Lowassa?

    Tupo wengi tutakaopigia kura Rais magufua.kwakua kiwabana wapiga dili.
  12. K

    Kwanini RC wa Mwanza huwa havui kofia yake?

    Hujui nyimbo za kitoto? ......Songa ugali tule.
  13. K

    Kafulila achukuwe Ubunge wa Zito Kabwe 2020, piga ua!

    Zitto ni mtu muhimu sana na kafulila ni muhimu sana,ila kwa kgm ninayoijua mimi,zitto kurudi bungeni ni ndoto.mwisho wake umefika.watu wa khm ni wa ajabu sana.
  14. K

    Nini tiba ya vinyama/ngozi zinazoota juu ya ngozi ....

    Chukua jiwe la kujisugulia,sugua taratibu hicho kinyama,baada ya hapo chukua mnyaa paka.fanya hivyo mpaka kinapotea.
  15. K

    Ulikuwa ni udhaifu wa Kikwete na umahiri wa waziri wake, au ni umahiri wa Magufuli na udhaifu wa mawaziri wake?

    Wacha awanyooshe wezi wakubwa,piga kazi Mr pombe,kila mtu ana mdomo na ni haki kuongea.
  16. K

    Naangalia taarifa ya habari ITV ghafla imeingia EATV na Miziki

    Nami imenitokea Jana naangalia ITV ikaja eatv.nikabaki nashangaa King'amuzi cha Azam.
  17. K

    Wanachama 23 na viongozi wa CHADEMA wakamatwa Mahakama ya Kisutu, wapelekwa kituo cha Polisi cha kati

    Kila mtu na akili yake,watu wanakula maisha na familia zao,wewe unajitia ujinga,sasa ndg zako wanaanza kuangaika kukuwekea dhamana.
Back
Top Bottom