Search results

  1. kikositija

    Msaada wa jinsi ya kutoa pattern iliyosahaulika katika simu ya xiaomi redmi 4x

    Ndugu Kwa anaejua jinsi ya kutoa paten iliyosahaulika ktk simu iliyotajwa hapo juu bila ya kufrash. Najua humu kuna hazina ya wajuzi wengi kama akina Chief Mkwawa na wengine tafadhali Naombeni msaada wenu..
  2. kikositija

    UJENZI GALLERIES

    Wanajamvi salaam Huu uzi ni kwa ajili ya kuonyeshana ufundi show ups katika ujenzi wa Nyumba Walls Terraces Na kadhalika karibuni Ni ruksa kushare picha of your success katika ujenzi Karibuni
  3. kikositija

    kadi original imepotea

    ndugu wanajamii Mimi namiliki pikipiki ambayo hivi sasa ina miaka mitatu... nilifanya kosa kutembea na kadi original pasi kuwa na kopi. Leo wakati naifanyia usafi ,nikagundua kuwa kimkoba nilichokuwa nahifadhia kadi hakipo.. kimepotea au kimeibiwa SWALI LANGU ...nifanyeje ili niipate kadi...
  4. kikositija

    mwenye kujua apk nzuri ya autocard na ujenzi

    wandugu natafuta kama kuna apk ya autocard ambayo ina features nzuri za disigning
  5. kikositija

    wahenga ni watu gani?

    ..
  6. kikositija

    Free wifi

    poleni na majukumu ya kuijenga Tanzania mpya, ndugu zanguni hali ya mambo duniani inaenda kasi sana kiasi usipotumia mianya hupati upenyo.... sasa, kuna hii kitu inaitwa wifi..ni nini? na mara nyingi kwenye simu yangu inanitaka password ili kuwa connected...je wahuvi wa mambo hakuna janjajanja...
  7. kikositija

    REDMI PHONES

    watumiaji wa redmi tukutane kijiwe hiki na maujanja ujanja ya kichina
  8. kikositija

    Jogoo wa sasa wamepoteza majira

    Wanajamvi hii leo weekend, Baba Salama ndio nimetoka kusalimiana na wadau kitaa baada ya shughuli kubwa iliyoniweka bize kwa takribani juma zima. Maana mzee anasema tupige kazi na mimi nampa heko kwa sababu anaimba wimbo wangu alionifundisha mwalimu mkuu kuwa siku zote nifikirie nitamfanyia...
Back
Top Bottom