Search results

  1. Lavit

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Kwa hapa Dar es Salaam mtu kama hupiki kwako ukitegemea kula migahawani basi utateseka sana, huku mitaani kukuta mahali wanapika vyakula vya kueleweka basi utazunguka sana. Wengi wanapika vyakula ilimradi na hii ni dsm ambalo tunaona ni jiji na pengine watu wake wanatarajiwa kuwa na kipato...
  2. Lavit

    Hata kama ni kukataa ndoa ila kuwa na mpenzi mmoja permanent muhimu sana, nakula vyuma mfululizo mpaka sielewi!

    Kifupi mimi ni team kataa ndoa, nilishakuwa huko mwisho wa siku nikaona ni UBATILI tu! Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea toka mwaka uanze hata sielewi, kila kukicha nakula vyuma yan hata yale makoloni yangu ya zaman yote...
  3. Lavit

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa ajiri ya watu duni na wachafu. Sasa mwaka jana desemba nilihamia nyumba nyingine ambayo awali...
  4. Lavit

    Kipi kinasababisha barabara za New York kuwa na hali mbaya?

    Hili jiji kongwe lenye sifa ya kutolala hali ya barabara mitaa mingi ni majanga. Uiiachana na downtown Manhattan, huko kulikobakiwa unabaki unajiuliza hii ndo superpower tunayohubiriwa? Mitaa mingi ya Queens, Brooklyn na Bronx hali hailidhishi kabisa. Tofauti na ukitembelea miji kama Berlin...
  5. Lavit

    Hivi kipi kilifanya driving side isiwe universal?

    Ukiangalia mifumo ya dunia mingi ni universal, lakini hali ni tofauti kwenye uendeshaji wa magari! Kuna nchi unaendesha kushoto, nyingine kulia, nisichoelewa ni kipi kilisababisha wasikubaliane wote tuendeshe upande mmoja? Leo hii ukitembelea mathalan US si utapata changamoto barabarani...
  6. Lavit

    Wanaoingiza vifaa vya Starlink waanza kukamatwa!

    Ni kama tunapambana kurudi nyuma, habari kamili hii hapa! #HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao limewakamata Claudian Makaranga (28) mkazi Kawe na Hongliang Yang (35) Mchina, mkazi...
  7. Lavit

    Kwanini Vodacom hawasemi ukweli kuhusu tatizo la internet?

    Toka majuzi huduma ya internet imekuwa ya kusuasua, yan kuna kuganda ganda na kuload kwa muda mrefu hasa kwa wateja tunaotumua pc! Mwanzo walitoa taharifa kwamba mkonga baharini una hitilafu na wanaenda kutatua, juzi wakatuma sms kwamba tatizo limeisha jambo ambalo si kweli! Wito wangu, hawa...
  8. Lavit

    Kama humudu gharama za maisha kwa kazi unayoifanya bila msaada wa boyfriend, wewe ni masikini

    Ameandika Godbless Lema! Kuna kundi la vijana wana behave kama wako ktk kundi la watu wenye maisha ya kati lakini ukweli ni kuwa wana deal na maisha yao ya kila siku kwa njia ngumu sana na aibu. Ukikutana nao kama huwajui vizuri unaweza fikiri uchumi wao ni imara sana. Msaada wa boyfriend...
  9. Lavit

    Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

    Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka. Baada ya kuzingua/kufa, nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi...
  10. Lavit

    Mashabiki waruka na Rayvan kuhusu kudandia Remix

    Huyu jamaa imekuwa kawaida kwake sasa kila akiona ngoma ipo trend basi ataidandia na kuforce remix. Sasa hivi majuzi baada ya kudandia wimbo wa Dayoo unaitwa Huu mwaka, raia wakamkalia kooni kwamba toka atoke WCB ni kama kapoteana, hivyo inambidi aende na upepo. Kinachoshangaza zaidi jamaa ni...
  11. Lavit

    Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

    Wakuu naomba experience yenu na hii brand, maana nisije nikajichanganya!
  12. Lavit

    Spotify Wrapped Thread

    Kwa watumiaji wa spotify tunaweza ona wrapped yako! Kwangu nimesikiliza artists 2,097 Top Five Artist 1. Taylor Swift 2. Alikiba 3. Miley Cyrus 4. Kygo 5. Leona lewis Top songs 1. Cruel Summer by Ts played 297 times since February 2. On fire by Alikiba 3. Flowere by Miley Cyrus 4. The man by...
  13. Lavit

    Hatimaye B2K Mnyama amejipata!

    Kuna huyu dogo toka Makambako, huw nasikia ni maarufu sana huko Iringa. Mimi siku zote ni shabiki wa muziki mzuri, kuna kipindi nilijaribu kumsikiliza ila sikuambulia chochote! Ila hivi majuzi kaja na hii ngoma inaitwa "Lala", hakika humu kaupiga mwingi sana. Hii ndo bongo fleva halisi, ujue...
  14. Lavit

    Rewrite The Stars; Version ipi kali zaidi?

    Original version ilifanywa na Zac Efron na Zendaya mwaka 2017 kwa ajiri ya movies ikienda kwa jina la The Greatest Showman. Baadaye James Arthur na Anne-Marie walifanya cover yake.Mimi kila nikizisikiliza nashindwa kuelewa ipi kali zaidi,Je wewe una maoni gani? NB: Hawa wenzetu kwenye hizi...
  15. Lavit

    Mji wa NewYork wakumbwa na mafuriko makubwa!

    Kutokana na mvua iliyonyesha kwa takribani masaa 24, maeneo ya Blooklyn na Queens yamekumbwa nabmafuriko ambayo wenyeji wengi wanakiri hawajawahi yashuhudia kabla. Mafuriko yametatiza usafiri kwa kiwango kikubwa, uwanja wa ndege wa LaGuardia (Terminal A) imefungwa kwa muda.huko kwenye subway...
  16. Lavit

    Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi --- Kupitia mtandao...
  17. Lavit

    Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

    Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu. Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
  18. Lavit

    Maboresho ya "Toto Afya" yamefikia wapi?

    Wakuu naomba kufahamu kama hiki kifurushi kimerudi au ndo wamefuta moja kwa moja! Nina kadi ya mtoto ishaexpire sasa nataka kujua kama kuna uwezekano wa kurenew! Au kama kuna alternative yenye nafuu naomba kujulishwa!
  19. Lavit

    Hivi ni mimi tu ninayevurugwa gari ikipata shida?

    Wakuu kuna vitu huwa najaribu kuvizoea lakini nashindwa kabisa. Mimi gari ikitokea tatizo dogo either nimeharibu bampa au nimekwaruza rangi huwa napata stress ya ajabu.Dent nyingine unakuta za kawaida kabisa ila huwa sipati utulivu wa akili mpka fundi arekebishe. Ila cha ajabu nakuta napishana...
Back
Top Bottom