Search results

  1. M

    Ushuru wa gari

    Kwahiyo TRA hawataki tuuziwe magari kwa bei nafuu. Wanataka watanzania watumie pesa nyingi tena za kigeni ili wao wapate kodi. Mwisho wa siku Tanzania ndo inapoteza coz pesa itaenda Japan na demand ya dollar itapanda na kusababisha thamani ya shilingi kushuka.
  2. M

    Ushuru wa gari

    Nimeagiza kagiri kwa CIF ya USD 2950 Japan. Toyota passo ya Mwaka 2010. TRA wakaongeza 492.24 USD, kwamba bei niliyonunulia gari iko chini ukilinganisha na thamani ya gari. Mambo kama haya ndo yana sababisha rushwa. Kwa nn TRA wakatae bei alisi ya gari kwani ata ukingia kwenye website ya Be...
  3. M

    Kippi Warioba jiheshimu

    Baada tu ya zile tafiti zilizoonyesha Mr. Push up anaongoza; nilitumiwa yale matoke kwenye line ya tigo. Ila yale yalionyesha Lowassa anaongoza sukutumiwa. Nikapiga tigo customer care, mtoa huduma akaniambiwa wao hawausiki. Wazi wazi nikawambia wasinitumie tena text ya aina yeyote.
  4. M

    Majedwali: Ripoti ya TWAWEZA ya 'Sauti za Wananchi' ya matokeo kuelekea uchaguzi

    Figure 2: Je. Mbunge wako alotekeleza ahadi alizitoa? Hakuna, chache, zilizo nyingi zote😀😀😀 Majibu ya hayaendani na swali.
  5. M

    Majedwali: Ripoti ya TWAWEZA ya 'Sauti za Wananchi' ya matokeo kuelekea uchaguzi

    Mie ngoja nianze na figure 1: Je, wazijua ahadi zilizotolewa na mbunge wako? Ndiyo 64%, 30% hapana na sijui 5%. Naomba kujuzwa tofauti ya hapana na sijui kwa swali tajwa hapo juu? Pili, jumla ni 99% and y not 100% .
  6. M

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Vipi kwa wale waliopata hizo point 10 ila F ya BAM. Ndo mpaka wa warudie BAM au kuna uwezekana wakupata MD
  7. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Ahsanteni sana makamanda wa Gezaulole mtaa wa Mbwamaji. Raha sana, ilikua inaniudhi sana kuongozwa na miccm
  8. M

    Majibu yameonesha brother anaujauzito

    Kupima mkoja kuangalia infection haiwezi kutoa majibu ya kua na mimba. Njia na vifaa ni tofauti kabisa. Wataalamu wa afya wanaorder UPT pale tu wanapohisi wanamke ana mimba.
  9. M

    Hongera dr. Lwaitama kuungana na UKAWA

    Wewe unaishi nchi gani? Ask google?
  10. M

    Hongera dr. Lwaitama kuungana na UKAWA

    Dr. Lwaitama siko zote ni msema kweli Wananchi tunatakiwa tuungane kudai katiba yetu
  11. M

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Mzee wa mimba kumbuka kwamba sisi sote ni watanzania, kua magamba si kuwaombea wafe. Inatakiwa wawepo wayaone mabadiliko yakitokea.
  12. M

    Hii ndiyo Ripoti iliyowang'oa mawaziri (Ripoti ya Lembeli)

    Kama watu wanatumwa kwenda kufanya operesheni ya kilinda maliasili zetu na wanaishia kufanya mambo ya ajabu kama haya. Nadhani ipo aja ya kuwapima akili maaskari na wanajeshi wetu coz watu wenye akili timamu hawawezi kufanya mambo ya kijinga, ya kudhalilisha na mauaji kama haya. Sidhani kama...
  13. M

    Nelson Mandela, South African Icon of Peaceful Resistance dies at 95

    R. I. P Mandela. Tutakukumbuka daima
  14. M

    Hatimaye Waziri Kapuya Afunguka Mwenyewe Live!!

    TZ yani unataka kutuaminisha kwamba huyu mwanafunzi ni tapeli na si mtoto bali mama.!! Basi sawa, Prof. Kapuya kaombwa msaada wa school fee ya Sh. 3,000,000/=, bila hata ya kufatilia au kuomba fee structure au kuwasiliana na chuo kutafuta ukweli akatoa 2,300,000 na kumalizia iliyobaki...
  15. M

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Rip Dr. Mvungi
  16. M

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Rip Dr. Mvungi
  17. M

    Sababu za kufeli kwa zoezi sensa

    Jamani mie kulingana na kazi yangu natoka asubuhi na kurudi jioni na naishi pekeyangu so alipokuja karani wa sensa akanikosa. Wakaacha maswali matatu tu kwa jirani; 1. Jina kamili 2. Tarehe ya kuzaliwa 3. Kiwango cha elimu Hii imekaa vizuri kweli, kwani kulingana na mkurugenzi wa...
Back
Top Bottom