Search results

  1. J

    Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

    Watu wengine hawajui wanachokiongelea kwa sababu ya fitina zao uwe na uwezo wa kutofautisha kati ya Southampton University na Southampton Solent University maana hizo ni University mbili tofauti zinazopatikana katika Jiji la Southampton kwa hiyo msiingize makosa kwenye CV yake kwa sababu ya...
  2. J

    Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

    Jamani msimuonee bure huyu dada labda kama kuna kitu kingine nyuma ya taarifa hii lakini mie naona CV imekaa poa tu. Kwa wale wasiofuatilia mambo ya elimu nchi za nje ni kwamba Masters Degree ni mwaka mmoja tu Uingereza iwe M.Sc, M.A e.t.c
  3. J

    Kwenda haja ni starehe...hapa mmmhh..

    Mimi naona kwa choo kama hiki hata mtu mfupi hawezi kujisikia raha!!
Back
Top Bottom