Tujiulize dubai inatumia kiasi gani cha pesa kwa kutegemea hao uliowaita foreign expatriates?vipi kama wangewekeza kupata wataalamu wazalendo?zama zinabadilika wasije wakadhani watabakia hivyohivyo milele na utajiri wa mafuta ambao ndio unawaleta hao wataalamu kwakuwa wanamudu kuwalipa.
Jamani kuanzia kamati ya makinikia,kamati ya tanzanite,kamati ya mali za CCM,na hii kamati ya madini na uvuvi hakuna jina la EDWARD!Kumbe mafisadi yooote yamebaki kulekule.
Alichofanya Rais hapo ni kukwepesha lawama kwa wabunge kuwa wanapitisha madudu kwakuwa nayeye hatakwepa lawama hizo sababu nayeye alikuwepo wakati wanapitisha madudu hayo hasa wabunge wa CCM.
kumbuka wabunge wanapitisha sheria lakini wao sio wabobezi wa sheria kwahiyo ofisi ya AG lazima ipitie...
Kwakweli,kwa maelezo yaliyotolewa hapo sijaona tatizo la kumfanya Rais kuingilia kati,maana kama kungekuwa na tatizo basi mtu angetumbuliwa hapo.halafu eti kuna waliyoficha hawajayadeclare!?halafu haohao ambao hawajadeclare mafuta wamekwepa kodi wanashikana mikono na Rais!?
Wakishangaashangaa watatukuta tupo na RAIS wetu na sisi wapambe tuliovalia magwanda ya kijani TUNAIZINDUA na kuijumlisha kwenye orodha ya ndege zetu mchana kweupe,bora waondoke haraka.:)
jamani mnapata tabu bure kudhani watanzania wa zama hizi ni mazwazwa,unadai eti naibu waziri wa fedha ametoa ufafanuzi ufafanuzi gani ule wa kindezi?Mwl Nyerere aliwahi kusema sikumbuki neno kwa neno,alisema"mtu ukiwa na akili timamu akatokea mtu akakushauri jambo la kijinga nawewe ukakubaliana...
Kwakweli walichotufanyia hawa jamaa waliopiga 1.5 trillioni Mungu anawaona,yaani sisi tunawatetea humu kwamba ni watetezi wa wanyonge kumbe wao ndio wanatufanya tuwe wanyonge zaidi!1.5 trillioni bajeti ya kwanza je tukisubiri miaka kumi?na hapo ndio mengine yamefunikwa mwanaharamu apite...
Fedha zikishaliwa sio kazi ya CAG tena,yeye ni mkaguzi kutokana na vielelezo ulivyomletea mezani.sasa yanayoendelea baada ya hapo ndio unaona kuna watendaji wanasimamishwa kazi kupisha uchunguzi hiyo inakuwa sio kazi ya CAG.
Unaamini kwamba katika awamu hii inayopiga vita ufisadi makosa kama hayo yanaweza kutokea na kusababisha kashfa ya upotevu ambao unaweka historia ya kupita upotevu wa awamu zote zilizotangulia?
Nafikiri alichotakiwa kufanya kafulila ni kuichambua ripoti ya CAG na kuibua hoja zake sio kuichambua taarifa ya ACT iliyotokana na ripoti ya ukaguzi ya CAG.CAG akishatoa ripoti nafikiri kinachofuata ni serikali kufanyia kazi mapungufu hilo ndio naona ni la msingi,sio mawaziri na wakina kafulila...
With time ndio jinsi listi makundi yasiyomwelewa yanazidi kuongezeka,walianza wanasiasa wakaonekana wanafiki na wivu unawasumbua,mara waliotumbuliwa ndio wanalialia,mara wenye vyeti feki ndio wanalialia,mara mafisadi ndio wanalalamika pesa hakuna sasa imefikia hata maaskofu wameona kuna tatizo...
Mwaka wa tatu huu wamefeli big time ni lazima wasingizie upinzani unawakwamisha na kuanza kukimbizana nao kama wanavyofanya sasa,nililijua hili litakuja baada ya wao kufeli.rais anazindua kiwanda cha sigara?
Sijawahi kuona marais waliotangulia wakizindua vitu ambavyo tayari vilishazinduliwa na awamu zilizotangulia,zaidi naona hizi ni dalili za kufeli kwa awamu hii ya tano,hakuna mtu atawekeza mamilioni katika hiki kipindi ambacho hakieleweki tunasimamia sera au matamko ya viongozi,mkuu wa wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.