Watu wengi walichangia na hakuna mtu mmoja anayeweza a kudai bila yeye JKN asingesafiri. Tunachojifunza katika hili inapokuwa maslahi ya taifa tofauti huwekwa kando.
Vyama vilivyopigania uhuru mtaji ulikuwa umoja na si itikadi.
Tunashindana na nani kama si sisi wenyewe. Kufikiria Kenya kama mshindani wetu ni kupigana na kivuli. Uchumi madhubuti hulindwa na soko la ndani na si nje
Hao wanao hariri hotuba zinazotakiwa kusomwa bungeni hawawashirikishi walioandaa ili kupata ufafanuzi na muafaka? Kila siku ni migongano isiyo na tija.
Sijui taratibu za kiofisi zikoje siku hizi, je Spika ndiye afisamwajiri wa CAG? Mipaka ya kiutawala izingatiwe la sivyo tunakuwa na uongozi pacha kwa ofisa mmoja.
Hili la kulalamikia lugha iliyotumika na wakati huo huo unatumia lugha isiyo na uungwana linasikitisha. Cheo cha Uspika hakienda na lugha ya " ukimwaga mboga na mimi na mwaga ugali". Makosa mawili hayafanyi moja kuwa sahihi!
Ndiyo maana CAG aliomba majibizano aliyofanya na kamati ya bunge yawekwe wazi ili umma ujue alichoulizwa na alichojibu. Jambo ambalo si rahisi kutetekelezwa
Mswahilswahili??? udhaifu wabunge na bunge dhaifu ni kauli mbili tofauti. Bunge limeoverreact na kuweka siasa kwenye neno la kitaaluma ambalo naamini lilitumika hivyo na si kwa maana ya lugha ya kawaida
Kujenga umoja katika nchi iliyopitia mauaji ya kimbari inahitaji kufunga masikio lakini pia kutoumiza wengine. Labda baada ya miaka 50kuaminiana kunaweza kuwepo. Falsafa ya kumbukumbu ni nzuri kama haitatumika kujustify ukandamizaji Nimeona falsafa ya NEVER AGAIN inavyotumika vibaya kuangalia...
Vema serikali iingie katikz kulipia gharama, kama ni kawaida yso kufanya hivyo inapoombwa na familia. Japo desturi
ikiendekezwa, basi iwe kwa wote sio political heavyweights tu. Kupigisha watu magoti kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.