Search results

  1. F

    Natafuta sana hela

    Kwa mwenye taarifa jamani ani pm, natafuta saana hela Mimi ILA siipati na hata ikipatikana Ni hela mbuzi Tu, sasa basi kwa mwenye taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wake kwa wingi naomba ani pm.
  2. F

    Swali korofi! Kwanini ajenda ya kupinga ufisadi imerudi CCM kwa nguvu kubwa?

    Kwa sasa hivi najisikitikia Ni kwa nini sikumpigia kura mh Magufuli maana kwa sasa hivi watu WA ukawa hatuna nguvu kabisa za kulisimamia tena jambo hili, Ni kwa nini basi mpaka tumefika hapa? Jana Mh Rais alipokua akiongelea hili jambo kwa ujasiri mkubwa sisi watu WA ukawa hasa WA chadema...
  3. F

    Irene Tilya wa East Africa Radio ananifurahisha

    Huyu mwana dada huwa ananifurahisha Sana na nikimskia kwenye kipindi Chao cha dinga mpya akiwa na somebody kingu, natamani cku moja nimuone live, amealiwa sauti nzuri na anaweza kumiliki kipindi, dinga mpya ya town oyeeee
  4. F

    kwa wajasiriamali wenzetu

    Habari ya mwisho WA wiki wana jukwaa, poleni Sana na majukumu ya kila siku. Sasa kilichonileta hapa Ni kwamba Mimi Nina nyumba nahitaji mkopo kwenye taasisi za fedha, sasa kila nikienda wananiambia lazima niwe na biashara ndio nitapewa mkopo, dhamana wameikubalihaina tatizo, tatizo lipo kwenye...
  5. F

    Pata Unga bora wa lishe

    Tafadhali husikeni na kichwa cha habari, Ni unga ulio bora kabisa na unafaa kea matumizi ya watoto, watu wazima na wagonjwa. Umetengenezwa katika mazingira ambayo ni masafi na salama...ingredients zake ni 1. Mahindi 2. Ulezi 3. Mtama 4. Soya 5. Karanga nk Bei zake ni friendly sana 1kg ni tsh...
  6. F

    Msaada; Mahitaji ya Microfince

    Habari za mchana huu wana jukwaa, poleni sana na mikikimikiki ya siasa, nahitaji mtu ambae anafaham microfince yoyote ile yenye masharti nafuu kidogo kwa mkopaji, ntashukuru sana kwa atakae nipa hzo taarifa, na awe na experince mfano kama kuna jamaa yake au yeye mwenyewe amewahi kukopa kwenye...
  7. F

    Kati ya magufuli na lowasa, yupi ana historia ya kuipa hasara kubwa serikali ya ccm

    Naomba tufanye mchanganuo huu basing on the information ambazo ni halisi na sio ki nadharia tu....
  8. F

    Nokia lumia 620

    habari za mida hii wakuu, naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuifanyia resetting nokia lumia 620 kwa mwenye ujuzi huo tafadhari msaada unahitajika, thank you so much in advance
  9. F

    Compressor inahitajika haraka

    mining compressor ya two pipes aina ya atlas au nyingine ambayyo ni nzima kabisa inayofanya kazi inahitajika haraka sana, kwa mwenye nayo tafadhari tuwasiliane Kwenye PM tufanye biashara
  10. F

    Mtoto kutopenda kuvaa chupi

    Habari za jioni wana jukwaa, naomba msaada kwa mwenye experience na hili suala. Mtoto wa mpangaji wangu ana umri wa miaka mitatu kasoro na ni wa kike hapendi kabisa kuvalishwa pichu yaani wakati wa kumvisha mpaka akamatwe kwa nguvu, na pia mkizubaa kidogo mnakuta tayari alisha ivua, na pia...
  11. F

    Huu ni ukristo?

    wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
  12. F

    msaada; kozi za jioni

    kwa anafaham chuo kinachofundisha evening course kwa bachelor degree kwa miaka mitatu mkoani arusha anifahamishe tafadhali
  13. F

    Evening course kwa bachelor degree nkiwa arusha

    Habari za leo wana jukwaa, nahitaji kufahamu chuo kilichopo mjini arusha kinachofindisha kozi za jioni baada ya kazi Kwan bachelor degree ya economics, kuhusu matokeo ya kidato cha Sita hakuna shaka
  14. F

    Eneo la madini ya Copper Ore

    Habari wana jukwaa, nina eneo lenye copper ore deposits kwa anae wajua wawekezaji wanao tafuta maeneo haya ani pm.
  15. F

    Tatizo la kukosa choo kwa mtoto, msaada tafadhali

    Habari za leo wana jukwaa, mtoto wangu ana umri wa miaka mitatu ana tatizo la choo kugoma, inaweza kumchukua siku tano mpaka saba anakosa kabisa choo na pindi anapopata kinakua kugumu sana mpka huwa analia sana, anateseka sana kama ukimwona, naombeni msaada wa mwenye kuelewa solution ya hili tatizo.
  16. F

    Ushirikina kwenye familia.....

    Hv inakuaje ndugu kwa ndugu wa baba na mama mmoja wanarogana ili familia moja iwe nyuma kimaendeleo zaidi yake, inasikitisha sana.
  17. F

    wauzaji wa mapazia ya mtumba

    Habari zenu wakuu,, tunauza mapazia ya mtumba grade 1 na ni mazuri .kwa anayeitaji anakaribishwa sanaa. yanapatikana tegeta nyaishoz Namba ya Simu : 0712624800
  18. F

    hodi wana jf.

    naomba nikaribishwe humu ndani.
Back
Top Bottom