Search results

  1. Kalpana

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Yanga ni mbovuu...ila Simba imechezewa kichawi aisee sio kawaida...
  2. Kalpana

    Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

    Majina ya koo za kisafwa ndo kama yapi wakuuu...huwa siwajui kabisa....
  3. Kalpana

    Simba wakishinda Aprili 20, 2024, nitaamini wengi tumezidiwa sana akili na Wanasiasa

    Mbona kama mwiko nyuma mmevurugwa??? Nyie ni kina nani msifungwe? Hyo hyo Simba si iliwatia kimoja derby ilopita? Kwani mliondoka na clean sheet? Why leo isiwezekane kufungwa...naona mnakuja na vi theory uchwara hapa...yoyote anaweza kufunga au kufungwa...hamna ubora huo wa kutishia watu...
  4. Kalpana

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Usiwafundishe tabia mbaya wababa wazuri wale wakimaliza tuu kazi haoo nyumbani... Ila ugomvi lazima utokee...
  5. Kalpana

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Ndo nakaribia kiijini interior huku muda mchache tuu network itakata...ila nataka kusema hiviiiii kwa vyovyote vile itakavyokua..
  6. Kalpana

    20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Inamaana Freeman Mbowe hayupo hapo? Yani Nancy sumari ana impact gani jamani au unazungumzia kwny engo zipi? ... Ongezea hapo Dimond Platnumz
  7. Kalpana

    Kisa cha mtoto aliyezaliwa mara mbili

    Inasisimua...
  8. Kalpana

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Ana miaka mingapi Gadner kwa mlioko msibani...
  9. Kalpana

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Duuuh ...ni juzi tuu ilisemekana amelazwa...
  10. Kalpana

    Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

    Hivi wanaume nani aliwaloga? Kweli kweli unamuingilia mtu kama huyu mwanaume mwenzio aliekomaa hivyo? Hivi hamsikii kichefuchefu?
  11. Kalpana

    Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

    Mbona mna ushauri hapo hapo mnamchamba? Taratibu guys.....
  12. Kalpana

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Nitaongea baada ya mechi..kwa sasa natoka nje ya mji kidogo hakuna network...
  13. Kalpana

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Hamna cha kukushauri ww endelea kujiendekeza tuu
  14. Kalpana

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Mbona kama naona mguu wa mtu amesimama kama anataka kufanyiwa operation
  15. Kalpana

    Bila shaka kesho Yanga anaondoka na ushindi

    Sio shida zetu.. Pambaneni mabango yasidode...
  16. Kalpana

    Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

    Ana wafuasi kama wote...na mibaba ipo mule inataka kubinuka kama yy..dunia imeisha...
  17. Kalpana

    Je, kwa mfano kesho Simba mtafungwa 5 na Yanga mtafanyaje?

    Hijui kitu tulia...
Back
Top Bottom