Search results

  1. P

    Kwa anayefahamu Ada za Kusomea Uaskari polisi au FFU

    Kuna rafiki yangu anapenda kuwa askari polisi au kama itawezekana kupata nafasi yakwenda mafunzo ya FFU ataenda ana Div 2. Msaada wenu kwa wazoefu.
  2. P

    Msaada wenu wa point za hili swali challenge Infection prevention Control (IPC)

    Masada wenu wa point na ufafanuzi hili swali challenge of IPC Nataguliza shukrani
  3. P

    Msaada wenu chuo nilichopo kinaelekea kufungiwa

    Jamani nahitaji msaada wenu juu ya hill jambo nacte wanihamisha na kunipeleka chuo kingine tatizo no kwamba chuo ninachotoka hawataki tuondoke Nilifikiria kitu kimoja nitoroke tu niende chuo nilichopangiwa na nacte ili nisije nikachelewa nikaanza upya kusoma na walifanyaapplicati kwa mwaka huu...
  4. P

    Kwa anaye kifahamu chuo cha mbalizi instute of healh kilichopo mbeya anifahamishe

    Kwa yeyote mwenye join instruction ya mbalizi instute of health kilichopo mbeya Anifahamishe kuhusu jumla ya michango na ada Natanguliza shukrani kwenu
  5. P

    Msaada wenu kwa mnaosoma Clinical Medicine na wazoefu

    Niko Chuo cha Muyoge, nasoma kozi ya Clinical Medicine ninapitia wakati mgumu sana katika maisha yangu ambapo imenifanya niingie kwenye mgogoro wa nafsi maana mazingira ya chuo nilichopo na ufundishaji hayaridhishi. Mgogoro wangu wa nafsi nataka nihamie chuo kingine ambapo moyo wangu utaridhika...
  6. P

    Msaada: Nimetumia email kuweka password PC imegoma kuwaka (HP)

    Msaada nimeweka password kwa kutumia email kwenye PC na sasa imegoma kuwaka.
  7. P

    Naomba kujua Jinsi ya kudownload Window kwa kutumia simu

    Kwa wanaofahamu naombeni mnisadie
  8. P

    Utaratibu wa kufungua akaunti benki

    Nahitaji nifungue akaunti kwa ajili ya kuwa nahifadhi pesa.
  9. P

    Ipi laptop nzuri ya kusomea yenye bei nafuu

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Basic Certificate. Ningeomba msaada kwa anayeweza kunifahamisha aina ya laptop na space inayotakiwa ili nifanikishe lengo langu. Natanguliza shukrani kwenu.
  10. P

    Application za kusomea kozi ya clinical medicine

    Naomba jf. Munisadie site za kupata notes za clinical medicine na application za kutumia kusoma
  11. P

    Ndoto yangu nikuajiliwa serikalini ngazi ya afya lakini nipo chuo cha private

    Nipo chuoni mwaka wa kwanza nilikosa chuo cha serikali lakini saiv Niko chuo cha private nasomea utabibu nategemea kuajiriwa serikali nisadieni kulingana na uzoefu wenu Natanguliza shukrani
  12. P

    Msaada namna ya kuhamia chuo cha srikali kozi ya clinical medicine

    Niko chuo cha private ninampango nihamie chuo cha serikalini naomba munielekeze jinsi ya kufany uhamisho nipo mwaka was kwanza Natanguliza shukrani kwenu
  13. P

    Nauli yakutoka Mwanza to Mafinga, Iringa

    Kwa wazoefu nahitaji msaada wenu
  14. P

    Narltafyta chuo cha private kwa clinical officer kwa adsla nafuu

    Matokeo yangu ya form four PCB (CCB) na math D naihitaji nikasome clinical medicine diploma mwenyekujua chuo chabinafsi kwa ada ya unafuu kidogo Natanguliza shukrani
  15. P

    Tetesi: Naomba njia mbandala kwenda chuo chà serikali afya nimetemwa nacte

    Nilituma maombi kwa njia ya online kwa kozi ya Clinical medicine naomba mnipe njia mbadala za kufany I'll nipate chuo cha serikali Natanguliza shukrani kwenu
  16. P

    Tetesi: Msaada jf nataka nianze kufanya kazi za computer

    Jamani Masada wenu ningeomba kwa wajuzi wa computer watoe fani Zao wanazozijua iliwaniwezeshe niweze kuzifatilia kwaaudani zaidi
  17. P

    Tetesi: Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu

    Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu
  18. P

    Msaada wa dawa ya sikio linalounguruma kama kuna maji

    Dawa kwasikio linaalotoa muugurumo Kama kuna Maji na macho ambayo hayaonimbali
  19. P

    Tetesi: Ushauri

    Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu
  20. P

    Ushauri

    Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu
Back
Top Bottom