Search results

  1. forex

    Natafuta Fundi wa CCTV camera

    Kuna rafiki yangu anaishi maeneo ya Kibaha anatafuta Fundi wa CCTV camera wa eneo la Kibaha! Shida ni kufunga camera hizo nyumbani kwake! Kama Fundi huyo yupo ajitokeze akamate huo mpunga!
  2. forex

    Food for thought

    ? +? +? =30 Use the following numbers to fill in question tags! 1,3,5,7,9,11,13,15 The numbers can be repeated, no problem! Wish you the best! If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
  3. forex

    Chemsha Bongo

    If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
  4. forex

    Je, Chanzo cha Mto Inawezekana Kuharibiwa na Shughuli za Kibinadamu?

    Wataalamu wa maji na miamba karibuni katika mjadala. Swali, maji ya mto yanatoka wapi? Maji yanatoka kwenye chemichemi ndani ya ardhi. Je, kulima juu tu kunaharibuje chemichemi hiyo! Maji yanapotoka kuna msukumo (pressure) kubwa kuliko yanapokwenda! Ili maji yasitoke tena inabidi msukumo...
  5. forex

    Mathematics Exam Paper

    *MATHEMATICS EXAM PAPER* *Time*: *3Hrs 30MINS* *INSTRUCTIONS:* 1 *_ATTEMPT ALL QUESTIONS_* 2 *_ALL QUESTIONS CARRY EQUAL MARKS_* *1.* You are a married man and you have dated somebody's wife for *two* years, busy spending on her like there is no tomorrow. eventually she drops you and...
  6. forex

    Tunafanya nini kuhakikisha kila mdomo wa Mtanzania unapata chakula?

    Maendeleo yote yataanzia hapa. Mtu ambaye hana chakula, hashibi huwezi kustawi kwa chochote! Tufanyeje sasa ili kila Mdomo wa Mtanzania upate chakula cha kula? Naomba tuanzie hapa. Mimi naanza hivi, Tanzania kwa sasa tupo takribani watu milioni hamsini (50m). Hivyo kwa siku tunahitaji 1/2 kilo...
  7. forex

    African Parents

    Posted as received: LETTER TO AFRICAN PARENTS Dear All- Let's be real. I wish to start by adding the benefit of my time as a student and then resident in the UK. Living in Abuja now. The first thing that I discovered about UK-born, white, English undergraduates was that all of them did...
  8. forex

    Industrialization via making agriculture a science

    This is what I think on how we can move forward! Introduce methods of farming that are different from digging a hole in the ground and cover it up with soil. Make agriculture a science. To farm this way, one needs to understand soil types, the fertilizers that type of soil require, and which...
  9. forex

    Mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda - Tanzania

    Mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda- Tanzania, Tanga unaweza kwenda sambamba na Mradi wa maji safi kutoka mto Kagera. Kwa kufanya hivi tutapata unafuu wa gharama za Mradi wa maji safi na ya uhakika! Mjadala upo mezani kujadiliwa!
Back
Top Bottom